Wachina bwana, baada ya maua kariakoo, chemuli, magauini, suti za minadani, sasa wameleta na hii sijui ni ya promotion..!. Jamaa wanafiki sana. Wanampa mtu sample ya kitu anapenda ili wapate wanachikitaka. Sijui watachukua nini kwetu kwa exchange ya hii product yao mpya!.
Wiki hii mh: rais Jakaya mrisho kikwete.Ametunukiwa cheti cha uprofesa wa kilimo nchini china kwa kutambua umuhimu wa kilimo nchini.Sasa rais kikwete atakuwa akitambulika kama profesa jakaya kikwete!Je una lipi la kusema?