Wiki hii mh: rais Jakaya mrisho kikwete.Ametunukiwa cheti cha uprofesa wa kilimo nchini china kwa kutambua umuhimu wa kilimo nchini.Sasa rais kikwete atakuwa akitambulika kama profesa jakaya kikwete!Je una lipi la kusema?
Alipopewa honorary doctorate basi ikawa initial rasmi Dr. Kikwete mpaka ikawa inaboa......, sasa kapewa honoray professorship huko china. Anzeni kumwita Prof. Kikwete tuone....
Hata maji marefu nae ni Professor, kuna prof. Jay wa mitulinga, kuna Dr. Cheni...., sio mbaya kuwa na Prof. Kikwete.
Chanzo:Michuzi
Yaani kutoka kanali wa jeshi hadi PROF.??
Nadhani amekuwa mtanzania wa kwanza kupewa U-PRO. wa kichina.
Rais, Mtukufu,Mhesshimiwa, Dr.,Profesar .LT .Colnel Alhaji,Chief wa Misenyi,Chief wa Bariadi,Mtwa wa Kalenga Mukulu wa Msoga,Zawadi ya wa TZ toka kwa MUNGU, J Kikwete , kiongozi wa nchi maskini kuliko zote dunianiMh. Prof. Dr. Presidaa JMHK! Siyo mchezo.
Rais, Mtukufu,Mhesshimiwa, Dr.,Profesar .LT .Colnel Alhaji,Chief wa Misenyi,Chief wa Bariadi,Mtwa wa Kalenga Mukulu wa Msoga,Zawadi ya wa TZ toka kwa MUNGU, J Kikwete , kiongozi wa nchi maskini kuliko zote duniani
majina yake yatakuwa kama hivi: Sinika Mrisho Kikwete Nechoch wa Mzelezi...Hii inafanana na ya Rais wa Zaire ya zamani Mobutu sseseko kuku wa zambanga, sasa tuitafutie kiswahili chake au kirugha chake, tujue kwa kikwele katika vyeo vya usomi alivyopewa tunamuitaje?
majina yake yatakuwa kama hivi: Sinika Mrisho Kikwete Nechoch wa Mzelezi...