President Magufuli is failing Tanzanians and East Africans

Hivi kwani Rais wa Tanzania ni Rais wa A. MASHARIKI ee? Maana wakenya kila kukicha Rais Magufuri afungu mara hashauriki yani mpaka unamsahau raisi wako pia uwe na akili mda mwengine hamuwez kuipangia Nchi ifanye yanayofanywa na Nchi nyengine huwe unajiongeza
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wakati Tanzania tulikuwa na kiongozi ambae Dunia ilimtambua na Afrika walimtamani. Ukisema tu unatoka Tanzania kwa kumaanisha zaidi kuielewa Tanzania Mnigeria, Mghana, Myahudi, Mhindi ataongezea Julius Nyerere, ooh he was a Great Leader.

Now we have reverse vers of that statement statement.
 
Hayo ni maoni yako but Watanzania wengi wanamuamini Magufuli na wanajivunia Magufuli kuwa rais wao by the way anafanya vizuri miradi mikubwa inatekelezwa kuinua uchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hapa hujaandika lolote Na nakikishia kwamba magufuli Ataipeleka tz mbali.hivi unauhakika gani magufuli hasikilizi ushauri?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hebu fuata huu uzi hapa ukajibizane na Watanzania wenzako ambao ndio wako Bongo na wanaona na kuonja hali ilivyo, humu wanasema miradi yote aliyoanzisha imeangukia pua, hamna hata kimoja mnachoweza kutumia kwenye kampeni za kutafuta kura ya urais, ni ile tu Tanzania lazima rais ashinde kwa tikiti ya CCM, ingekua mnahoji kwa matokeo ingekua ndio basi, soma huu uzi hapa
Majanga: Miradi ya Magufuli yote imekwama - JamiiForums
 
Soma hiyo topic mpaka mwisho miradi ya Tanzania haiwezi kwama hata kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma hiyo topic mpaka mwisho miradi ya tz haiwezi kwama hata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wabishie hao maana ndio wapo maeneo husika na wana uwezo wa kusema kama kweli, mimi nilie nje labda nitegemee media, kwa mfano SGR ilikua ianze kazi mwaka jana, leo mnaelekea kwenye uchaguzi bado imebaki kuwa stori, yaani hamna mradi hata mmoja hivi mumekamilisha ukaonekna.
 
Wewe ni injinia? Hakuna mradi wa tz utakaofeli kila mradi unaendelea vizuri wewe subiri muda kidogo uje upige picha na treni ya kisasa na umeme ya tz kwani inakaribia kukamilika.mradi wa tz unamambo mengi kama umeme kuwekwa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mimi sio injinia, ni mtumiaji tu kama yeyote yule, watumiaji au walaji ndio walilishwa matango pori walipoambiwa wataanza kutumia mwaka jana, leo hii ni stori.
 
You have that type of weakest president in your mind!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raisi wetu. Kumchangua tumchague wenyewe. Lakini mabeberu na wasaliti wa kiafrica kutoka haswa kunyaland povu linawatoka utafikiri ni raisi wao.

Si mtuache na raisi wetu!!! Sisi tunampenda.

Hii tabia kutu undermine kama vile wajinga hatupende. Utatupeleka pabaya. Yani hamlali humu online kuzusha mambo. Kila kukicha mnaanzisha mengini mkishirikiana ma wasaliti wengine wa Tanzania.

Tanzania ni nchi ya demokrasia. Magufuli ni chaguo la wengi. Nyie wachache msiomtaka si mkubali tushindwa na kuonesha huo ukomavu wenu wa kisiasa!!

Mfano yule dada mage. Yeye yupo Marekani. Huko kuna mzozo mkubwa kuhusu hili jambo. 80, 000 wameshakufa, baada ya kuhimiza huko Marekani yani yeye amakazana kuposti Tanzania tu, yani mpaka saingine nashindwa kuelewa.

Jamani ndugu zetu mtuache tu. Magufuli ni chaguo letu. Wakati tunamchagua hatuwaomba hata ushauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Propagandists at work

In Tanzania, things go as usual, just like yesterday like nothing is goin' on corona ain't a hit song anymore, we aint used to.
 
You got that right brother, He surely gonna come on top.
 
WHO wametabiri huu ugonjwa sio wa kuondoka leo wala Kesho, nchi zenye vifo vya Corona vikubwa kupitiliza duniani zimeanza kurejea maisha ya kawaida, mashirika ya ndege yameanza kufungua upya safari zao (Mfano Fly Emirates), Sisi manyani wa Afrika bado tunajisifia kujifungia ndani ili tupewe mikopo na misaada na wazungu. Hii lana sijui lini Mungu atatuondolea ngozi nyeusi
 
I don't see a point here because he is not only president who demanded that medicine from madagascar. And also right data about covid patients must come from government not otherwise.and let me assure you that he will not fail.
You mean to imply from the same government that questioned the authenticity of the results, terming the kits as faulty after testing goats and pawpaws? (same kits have been used else where with no unquestioned results) The same government that has halted the exercise of issuing infection statistics for weeks?

Right now the so called government has lost every right to question any speculations be it true or false as far as the pandemic is concerned. So if some person decides to come and say the actual infection rate in Tanzania is at 1 million, the mass will take that as gospel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…