passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Take note that life in densely populated urban areas of Tanzania, street venders and other business areas, life goes on, without reported cases of dead people.
While lockdown countries are allowing people back to normal life, there is no evidence that the deadly disease has been contained. If there were new cases of infection while in lockdown, there is all likelyhood that the spread will increase cases.
To change your life, you have to change yourself. To change yourself, you have to change your mindset. Thus, it takes time for an individual to adopt to change. While Tanzanians are gradually getting used to safe hygienic practices against COVID-19 infections, because of non-lockdown situation, their counterparts will have time to adapt to.
Mimi hicho kikombe cha Babu wa Madagscar sitakinywa kama ambavyo sikunywa kikombe cha Babu wa Samunge. W.H.O wakiki-endorse ndipo naweza kukitumia. Wala msinimabie kwamba W.H.O ni ya mabeberu. Kuna waafrika chungu nzima, wakiwemo watanzani wanaofanya kazi humo.What do you expect from people who use steam to kill virus.
Volume...Magufuli hakujiandaa na wala hakuandaliwa kuwa rais, amepatikana kibahati bahati katika mtafaruku wa kumnyima mtu fulani nafasi.
Ndiyo maana anatapatapa.
He was a failure then he is a failure now and forever he will be.
Kwani umeambiwa hafanyi kazi?Lakini niulize waTanzania, kama Magufuli ana amini Corona ni homa tuu, kila mtu achape kazi kwaida, mbona kajificha Chato?
Mbona ameitisha dawa kutoka Madagascar? Si atembee kwenya barabara za Dar na afanye inspection ya miradi. Mbona asingie kwenye mikutano na kuambia Rais wengine vile strategy ya Tanzania inafanya vizuri pia wengine wafanye?
Sasa hivi nchi zingine za EA zingekua zinarudi normal baada yamikakati kufanywa na kesi zimepungua, lakini hawawezi kwa ajili waTanzania wamebeba Corona na wanataka kuingia nchi zingine. Hakuna anaejua Corona itakua vipi miezi sita ay mwaka ujao lakini hakuna anae taka kuona the worst. You prevent the worst and if turns out its not so bad you made a bet on making a good outcome, sasa bet ya kusema Corona ni homa tuu alafu ikue mbaya, haina tiba na ipate kuua watanzania wengi, mtalilia nani?
He was a failure then he is a failure now and forever he will be.
Kwa hiyo number ya wagonjwa wa korona kuongezeka Kenya ni kwa sababu ya watz?tumia akiliLakini niulize waTanzania, kama Magufuli ana amini Corona ni homa tuu, kila mtu achape kazi kwaida, mbona kajificha Chato?
Mbona ameitisha dawa kutoka Madagascar? Si atembee kwenya barabara za Dar na afanye inspection ya miradi. Mbona asingie kwenye mikutano na kuambia Rais wengine vile strategy ya Tanzania inafanya vizuri pia wengine wafanye?
Sasa hivi nchi zingine za EA zingekua zinarudi normal baada yamikakati kufanywa na kesi zimepungua, lakini hawawezi kwa ajili waTanzania wamebeba Corona na wanataka kuingia nchi zingine. Hakuna anaejua Corona itakua vipi miezi sita ay mwaka ujao lakini hakuna anae taka kuona the worst. You prevent the worst and if turns out its not so bad you made a bet on making a good outcome, sasa bet ya kusema Corona ni homa tuu alafu ikue mbaya, haina tiba na ipate kuua watanzania wengi, mtalilia nani?
It is too senseless seeing some irrelevant hogs are trying to spin on the quality of the Tanzanian president, they devote some moments discussing how Magufuli is leading Tanzania rather than discussing their jubilee corrupted government.
I tell you, at the end of the race, Magufuli is going to win a gold medal, you tried lockdown but you failed, you are now imposing a regional isolation technique to discriminate Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hicho kikombe cha Babu wa Madagscar sitakinywa kama ambavyo sikunywa kikombe cha Babu wa Samunge. W.H.O wakiki-endorse ndipo naweza kukitumia. Wala msinimabie kwamba W.H.O ni ya mabeberu. Kuna waafrika chungu nzima, wakiwemo watanzani wanaofanya kazi humo.
Hiyo miradi mikubwa anajengea mashetani wakati raia wanakufa kwa corona?
Kwahiyo watakaje wewe mbuzi?Hiyo miradi mikubwa anajengea mashetani wakati raia wanakufa kwa corona?
We naona unaongea pumba tu, Kwanini kina Oscar Kambona walikimbia...?!Kuna wakati Tanzania tulikuwa na kiongozi ambae Dunia ilimtambua na Afrika walimtamani. Ukisema tu unatoka Tanzania kwa kumaanisha zaidi kuielewa Tanzania Mnigeria, Mghana, Myahudi, Mhindi ataongezea Julius Nyerere, ooh he was a Great Leader.
Now we have reverse vers of that statement statement.
Hao raia wanaokufa kwa corona ni wangapi...?! Mtaani kwenu wapo...?! Mimi huku mtaani sioni, zaidi ya kusikia kwa Kigogo tu hadi najiuliza Anaishi wapi huyu jamaa...Hiyo miradi mikubwa anajengea mashetani wakati raia wanakufa kwa corona?