Lakini niulize waTanzania, kama Magufuli ana amini Corona ni homa tuu, kila mtu achape kazi kwaida, mbona kajificha Chato?
Mbona ameitisha dawa kutoka Madagascar? Si atembee kwenya barabara za Dar na afanye inspection ya miradi. Mbona asingie kwenye mikutano na kuambia Rais wengine vile strategy ya Tanzania inafanya vizuri pia wengine wafanye?
Sasa hivi nchi zingine za EA zingekua zinarudi normal baada yamikakati kufanywa na kesi zimepungua, lakini hawawezi kwa ajili waTanzania wamebeba Corona na wanataka kuingia nchi zingine. Hakuna anaejua Corona itakua vipi miezi sita ay mwaka ujao lakini hakuna anae taka kuona the worst. You prevent the worst and if turns out its not so bad you made a bet on making a good outcome, sasa bet ya kusema Corona ni homa tuu alafu ikue mbaya, haina tiba na ipate kuua watanzania wengi, mtalilia nani?