President Magufuli is failing Tanzanians and East Africans

Safi Sana...hii mikenya imerogwa.Inatuonea wivu kutokulock down inatamani na Sisi tuige style Yao na hatuko tayari. Lockdown haieaidii chochote. Ulaya watu wanakufa na lockdown ipo, sembuse Africa? Msituchagulie silaha ya kutumia vitani kila nchi na silaha zake. Mbwa nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
 
What do you expect from people who use steam to kill virus.
Mimi hicho kikombe cha Babu wa Madagscar sitakinywa kama ambavyo sikunywa kikombe cha Babu wa Samunge. W.H.O wakiki-endorse ndipo naweza kukitumia. Wala msinimabie kwamba W.H.O ni ya mabeberu. Kuna waafrika chungu nzima, wakiwemo watanzani wanaofanya kazi humo.
 
Stupid post

I can guess. Why the post this nonesense here. Us tanzanians love maguful very much with his strategies about everything in our country

Dont be so jelously cos your president is a clown.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini niulize waTanzania, kama Magufuli ana amini Corona ni homa tuu, kila mtu achape kazi kwaida, mbona kajificha Chato?
Mbona ameitisha dawa kutoka Madagascar? Si atembee kwenya barabara za Dar na afanye inspection ya miradi. Mbona asingie kwenye mikutano na kuambia Rais wengine vile strategy ya Tanzania inafanya vizuri pia wengine wafanye?

Sasa hivi nchi zingine za EA zingekua zinarudi normal baada yamikakati kufanywa na kesi zimepungua, lakini hawawezi kwa ajili waTanzania wamebeba Corona na wanataka kuingia nchi zingine. Hakuna anaejua Corona itakua vipi miezi sita ay mwaka ujao lakini hakuna anae taka kuona the worst. You prevent the worst and if turns out its not so bad you made a bet on making a good outcome, sasa bet ya kusema Corona ni homa tuu alafu ikue mbaya, haina tiba na ipate kuua watanzania wengi, mtalilia nani?
 
Watoto wa mafisadi na baba zao. Wanasumbua sana sana. CCM awachagui mtu aliye jiandaa kama Ruto, Lowassa, Membe. Kwa vyovyote watakuwa ni vibaraka wa wauza madawa ya kulevya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
He was a failure then he is a failure now and forever he will be.
 
Kwani umeambiwa hafanyi kazi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo number ya wagonjwa wa korona kuongezeka Kenya ni kwa sababu ya watz?tumia akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 

daaah we jamaaa kama uliona mbele ivi,
 
Kweli wewe ni Mafutamingi tena mafuta ya taa... kerosene
Sent using Jamii Forums mobile app
 
We naona unaongea pumba tu, Kwanini kina Oscar Kambona walikimbia...?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…