President Mobutu Sese Seko of Zaire

President Mobutu Sese Seko of Zaire

Mke wa kwanza wa Mobutu Maria Anttoinette alikufa baada ya kupigwa na mumewe akiwa mja mzito. Mobutu aliumia sana kwani alimpenda sana mkewe. alimuahisha Brussels kwa ndege lakini haikusaidia.
sio Brussels, mkewe alifia hospital moja jijini Geneva Switzerland mwaka 77
 
Na bokasa pia wa central Africa,
Bhokasa alikuwa mjinga sana alitumia hela mpaka alimaliza kabisa hela ya kuendeshea serikali. Aliona Masada wa dharura kwa Gadaffi alipewa kwa masharti ya kuwa atabadili dini.

Alikwenda Tripoli kuchukua hela, juridical rais anaitwa Saladine Bhokhasa
 
Sifa za dictators wote,ukatili ili kujienga hofu ya kuogopwa sababu ya uwezo wao mdogo wa kufikiri kwenye general knowledge, inferiority complex, hawana marafiki,wazinzi,ndumba,uuaji wote lzm wananuka damu,
 
Mobutu alipenda anasa mno alikuwa akikodi li ndege kubwa LA air France kwa mwez mzma kula bata,alipendelea kufanya shopping mjini Marseille
Alikuwa akifika dukani haulizi bei anabeba na kulipia
 
Naomba kujua watoto wa huyu mzee ambao bado wako hai....ikiwezekana tujuzane wanafanya nini.
 
Back
Top Bottom