President Mobutu Sese Seko of Zaire

Sky Eclat[emoji15] [emoji15] [emoji15] ...soon 'll see this here in Tanzania, it's the matter of time, wait!!!!
They have done that but not to that extent, the man was ruthless.
 
Big up mkuu , mada zako zinaburudisha na kuelimisha. Ombi: ukipata muda tuletee ya Queen Nzinga au Macias Nguema.
 
Nashangaa kidogo kusikia ni Rwanda na Uganda ndio zilizo msaidia Laurent Kabila na kwamba Tanzania haikuwa na mkono katika hili nakuwa na mashaka ila haya na pia naomba endapo utapata muda uka tujuza kidogo ukaribu ulio kuwapo wa Mulungushi Club na nini kili usambaratisha baina ya waliokuwa Marais Mwl.Nyerere, Kenneth Kaunda na Mobutu Seseseko.
 
Kitu ninachoelewa ni kuwa Mwl. Nyerere hakukubaliana na kiongozi yeyote aliyepinga ujamaa kipindi kile, Zimbambwe ilipata uhuru iliamua kufuata siasa za ujamaa, pamoja na Msumbiji. Zaire Mobutu hakutaka hata kuusikia ujamaa, ingekuwa ngumu kuelewana na Mwalimu, pia Mobutu alikuwa rafiki wa karibu na Idi Amin nadhani ile kuwa wote walianzia jeshini, they had something in common, hii pia ilichangia kutofautiana na Mwalimu.
 
Shukran.
 
pia dikteta Mobutu kuna mwaka Fulani timu ya taifa ya Kongo ilienda ujeruman kwenye mashindano,Mobutu akachukua waganga wote nchi nzima kuwanga ujeruman ili timu yao ishinde hata hivyo iliambulia kichapo cha 9_0
 
Historia nzuri sana.
 
wakuu,Leo nawaletea baadhi ya vituko vya dikteta huyu katili aliekuwa maarufu miaka ya 1970,80 na 90's
1_alikuwa anaamini ushirikina kupita maelezo,aliajiri waganga 100 ikulu
2_miaka ya 1975 alikodi wachawi wote na waganga wote DRC kwenda ujerumani kwenye mechi waganga hao kaz yao ilikuwa kuwanga ili timu ishinde Bahati mbaya ikapigwa 9_0
3_alikuwa mwoga sana,alikuwa akisafiri nje anasafiri na maofisa wote wakuu wa jeshi na ghala LA silaha anachukua funguo,lengo wasimpindue

4_alikiwa na watoto zaidi ya 20
5_alijenga kasri kijijin kwake gbadolite lenye vyumba 100 sanjari na hoteli ya kitalii ya nyota 5 iliyoitwa motel nzekele
HEBU ONGEZEENI VITUKO VYA DIKTETA HUYU
 
6. Alikuwa na tabia ya kutafuna wives za mawaziri wake. Japo walikuwa wanajua, hakukuwa na aliyekuwa na ubavu wa kumuuliza au kumkoromea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…