President Museveni akemea Oral Sex, asema, the mouth is for eating, not sex

President Museveni akemea Oral Sex, asema, the mouth is for eating, not sex

Alikuwa anamzungumzia jamaa wa makerere hapa nn?
1.jpg
 
Vituko haviishi kwa wanasiasa wa Afrika.

Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museven, ameonesha nia yake ya kupiga marufuku vitendo vya kufanya mapenzi kwa kuhusisha mdomo. Museveni amesema, mdomo ni kwa ajili ya kula na si kufanyia mapenzi vitendo ambavyo amesema ni vya kigeni, hivyo kuwaonya wote wenye tabia hiyo.



******************************************************************************

HABARI KAMILI

Ugandan president Yoweri Museveni has stated his intention to ban oral sex.

The East African leader said publicly in a press conference that the "mouth is for eating" and that he was issuing a public warning about it, the Daily Mail reported.

"Let me take this opportunity to warn our people publicly about the wrong practices indulged in and promoted by some of the outsiders," Mr Museveni said.

"We know the address of sex, we know where sex is."

The move to ban a particular sex act is not uncharacteristic of the 73-year-old.

In 2014, he signed an Anti-Homosexuality Act that made it illegal for anyone to be gay in Uganda. As a result, those found to be engaging in gay sex could receive life imprisonment.

The law even goes as far as to make it a criminal offence for not reporting someone for being gay.

Newshub.

'The mouth's for eating': Ugandan president wants oral sex outlawed
 
Mambo ya kitaifa yanawashinda wanaanza kudili na mambo privately..... Hiv hzo oral sex zinafanyika hadharani?
 
Watakuwa wanaingia vyumbani kukagua Waganda wanafanya vipi mapenzi yao Mkuu? Ujinga uliokithiri!!!!

Mambo ya kitaifa yanawashinda wanaanza kudili na mambo privately..... Hiv hzo oral sex zinafanyika hadharani?
 
Hajawahi kunyonywa huyo, siku akipata Mwanamke anayejua kunyonya ataacha ushamba, wanawake wa Uganda hebu mtoeni ushamba huyo mzee
 
Uganda’s President Yoweri Museveni has issued a “public warning” against oral sex.


Museveni claims this practice has been promoted by “outsiders”, saying the “mouth is for eating and not for sex”.

“Let me take this opportunity to warn our people publicly about the wrong practises indulged in and promoted by some of the outsiders,” the president said in a video posted on Twitter.

“We know the address of sex, we know where sex is.”
 
[BPamoja na kuwa sina hoja yakumpiga Museveni, lakini kapotosha siwezi kuacha
 
hata denda hairuhusiwi,eating,vomiting and kissing
 
MAMBO AMBAYO HUPASWI KUMFANYIA MWANAMKE ANAEKUPENDA KWA DHATI
1. Usimuumize moyo wake
2. Usi 'pretend' unampenda ili ufanikiwe kufanya yako.
3. Mtukane vyovyote vile ila sio wazazi wake na kumwambia kuwa yeye ni mbaya.
4. Usimfananishe na wanawake zako waliopita.
5. Usimchukulie kirahisirahisi (Never take her love for granted)
6. Usimpige
7. Usimsaliti na kuonyesha kabisa dharau ajue kuwa una 'cheat'
8. Usimvunjie heshima kwa kumgombeza mbele za watu.
9. Usimpotezee muda wake kama hauna mpango wa kumuoa, unamchelewesha kupata mume bora.
10. Usimfanye ajione hapendwi na ana mkosi hapa ulimwenguni, huo ni ujuha.
11. Usimbake
12. Kamwe usisahau kumwambia unampenda na yeye ni mzuri hiyo haipunguzi nguvu za kiume.
13. Usimpe mimba na kumkimbia au kumwambia aitoe, kama huna nia ya kumuoa achana na hayo mambo, nadhani unajua kabisa matokeo ya kufanya ngono.
Sometimes wanaume ni pasua kichwa vilevile, unakuta unapata mwanamke anaekupenda kwa dhati, mwanamke ambae ni potential, mwanamke ambae hakodoi macho pochi yako, ila masikini ya Mungu anaishia kuumizwa na kulia kila siku na kujilaumu kwanini alikupenda.
Wewe fanya hivyo ukidhani unamkomoa, ila siku na wewe ukibananishwa na mwanamke mjasiriamwili utaisoma namba, nakwambia utauza hadi boxer.
Baadae unakuja kulalamika hapa 'wanawake wanapenda pesa, wanawake wanapenda pesa.' ukishikwa shikamana.
Na kama humpendi usimtongoze!
Usimpige ndege Jiwe kama ujandaa mazingira ya kumuokotea
 
Back
Top Bottom