TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Ile muvi ya mkenya ilikuwa ni hujuma ya wakenya kwa tasisi za uganda baada ya kuwanyima mradi wa bomba la gesi. ndiyo maana Museven anaamua kuua hiyo kitu kwenye media kwa style hii. Wakenya wanavisasi si wakuchekea. Wewe ujiulizi, mwanafunzi kapata first class...halafu anaamua kuianika kuwa kaipata kwa "'u'nunu' bare style", si jambo la kawaida. She was 'honeytrap' !