Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Naunga mkono kwa 101%Kuna watu wanajipigia mahesabu kugombea 2025.
Mama Samia bado ndiye best option kuendelea urais.
Stability ya kiuchumi iliyopo tusiiyumbishe, Issues zilizokuwepo bado mama amezimudu.
Kina Mwigulu, January, Mpina na hata wale wanaoenda kimyakimya kama simba mawindoni, muachieni mama Samia amalize kile alichokianza.
Sasa wale msionielewa msije niua buree, kwa hizi ndogo ndogo sina maokoto!
Mama Samia for 2025!
Kabisa,na wanataka eti kulazimisha Mwinyi aje Bara ,huu ni upuuzi huyo Mwinyi atatuvurugia uchumi na muelekeo mzuri wa Nchi.Kuna watu wanajipigia mahesabu kugombea 2025.

Hofu ya nini?Kuna watu wanajipigia mahesabu kugombea 2025.
Mama Samia bado ndiye best option kuendelea urais.
Stability ya kiuchumi iliyopo tusiiyumbishe, Issues zilizokuwepo bado mama amezimudu.
Kina Mwigulu, January, Mpina na hata wale wanaoenda kimyakimya kama simba mawindoni, muachieni mama Samia amalize kile alichokianza.
Sasa wale msionielewa msije niua buree, kwa hizi ndogo ndogo sina maokoto!
Mama Samia for 2025!
Nchi haina hofu, watu hawabambikiwi kesi, biashara zinaenda, wenye kuwekeza wanakuja.Hofu ya nini?
Wewe wa nyumba za tope Mwanjelwa, muendesha bajaji, mmemaliza naandamano?Chawa kazini .
Kweli kabisa mkuu.Kabisa,na wanataka eti kulazimisha Mwinyi aje Bara ,huu ni upuuzi huyo Mwinyi atatuvurugia uchumi na muelekeo mzuri wa Nchi.
Mfano Samia sio tuu ana ushawishi kwenye jumuiya ya Kimataifa Bali ana vision ya kuinua watu maskini kwenda kwenye uchumi mzuri ,sera zake mfano kwenye Kilimo na Biashara/uwekezaji zimerejesha matumaini ya watu kujiajiri kwenye biashara na kilimo
Wewe usiyekuwa MPUMBAVU WAHED ulitaka nani wae mgombea 2025?Tanzania tumekuwa na kizazi Cha watu hovyo sana, Cha kusifiasifia hata UPUMBAVU. Kizazi cha kujipendekeza. Tangu Dunia iumbwe na tupate uhuru raia wa Tanzania hajawahi kushindwa kuagiza hata pikipiki ya Fekon toka China eti kisa dola hakuna benki. Imefika sehemu benki wanakuuzia mwisho $100 tu, ukitaka kuagiza chochote nje utafanyaje!?,wafanyabiashara wataagizaje bidhaa kwa style hiyo!?,ukienda nchi jirani dola zinapatikana hapa Tz zimeenda wapi!?.., halafu naingia Jamii Forums nakutana na k.enge kadhaa zipo zinasifia uchumi umeimarika, mnafahamu maana ya uchumi nyie k.enge!!??.., wakati mwingine ni busara kuficha UPUMBAVU wenu.
Mtu yoyote anaweza kugombea sio lazima yeye...umeskia ww mpumbavuWewe usiyekuwa MPUMBAVU WAHED ulitaka nani wae mgombea 2025?