ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Sawa pamoja na povu lako hili Je huelewi kwamba Duniani Kuna dollar crisis?Tanzania tumekuwa na kizazi Cha watu hovyo sana, Cha kusifiasifia hata UPUMBAVU. Kizazi cha kujipendekeza. Tangu Dunia iumbwe na tupate uhuru raia wa Tanzania hajawahi kushindwa kuagiza hata pikipiki ya Fekon toka China eti kisa dola hakuna benki. Imefika sehemu benki wanakuuzia mwisho $100 tu, ukitaka kuagiza chochote nje utafanyaje!?,wafanyabiashara wataagizaje bidhaa kwa style hiyo!?,ukienda nchi jirani dola zinapatikana hapa Tz zimeenda wapi!?.., halafu naingia Jamii Forums nakutana na k.enge kadhaa zipo zinasifia uchumi umeimarika, mnafahamu maana ya uchumi nyie k.enge!!??.., wakati mwingine ni busara kuficha UPUMBAVU wenu.
Je hujui kwamba shida ya dollar imeanza post covid 19? Na Je hujui kwamba hili ni tatizo la Nchi karibia zote za Afrika kuanzia Egypt Hadi Ghana?
Ulitaka Serikali itoe dollar bila rationing Ili uchukue uanguke?
Mwisho pamoja na wewe Kuzuia dollar hizo chache umewahi enda dukani ukakosa bidhaa kisa wewe umeuziwa Dola kidogo?
Punguza ujinga Mzee,Dola Iko reserved Kwa Ajili ya biashara zile Zenye umuhimu tuu Hadi hapo uchumi utakapokuja kutengamaa ndio itakuwa free tena.