Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #41
YOU, will be surprised!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YOU, will be surprised!
Hii ni siasa, muweke mtu wako hapa mtandaoni tumrarue!Tupunguze kuabudu watu. Ndio maana hatuendelei tunalazimisha mtu mmoja kuonekana Bora miongoni mwab
watanzania millioni 60.
Tunalazimishaje wakati Iko wazi alisema atagombea? Kwani wewe husikii huko kote kwenye chama wakisema Samia ndio mgombea 2025?Kwani tupo kwenye kampeni!?.., mbona mnalazimisha mambo ya mgombea!???, Ndo mmetumwa kupima upepo!?, mtakuja kushangazwa msiamini, hii nchi sio ya watu au kikundi fulani. Ina raia zaidi ya milioni 60. Ila kwasasa mmeamua kuwa chawa, Kwa muda mfupi mtafanikiwa, ila hamtadumu kwenye UCHAWA.
Uzuri wanaosema hafai ni machadomo so who cares.
Na pia Hamsemi anaefaa ndio uzuri mwingine 🤪🤪
We MPUMBAVU DUME vile vile ujue kuwa hii mada ni ya kisiasa.Kwanini mnakazana na mgombea kwani mmetumwa kupiga debe!?,kwanini msijadili maswala muhimu yanayohusu uchumi?,nimekuuliza unaelewa lolote kuhusu uchumi unakuja na habari za nani awe mgombea, una akili kichwani kweli!?.., mgombea akiwa nani anakusaidia nini miaka miwili kabla ya uchaguzi!?, Nchi inajiendea kama vile haina kiongozi nyie mpo hapa mmekazana na UCHAWA nikiwaita WAPUMBAVU nakosea!?????
Endelea na kampeni zako, ila nakuhakikishia 100% hazitakusaidia na lolote. Muda ni mwalimu mzuri, tupo hapa tuombe uzima tu.We MPUMBAVU DUME vile vile ujue kuwa hii mada ni ya kisiasa.
Ujue kuwa lazima tuwe na choice ya mtu tunayempenda kusimama 2025.
Mi mkono unaenda kinywani sasa wewe ujitambue kuwa uchumi umekua au la.
Ndio atagombea Sasa mpige kura na tutamchagua.
Mwisho Samia has been in power wabla hujazaliwa na amekuwa VP.
How comes VP awe wa kubahatisha kama hao wagonbea wenu wa mfukoni?
Sera ya kilimo imebadilika tofauti na ile ya mwendazake?Kabisa,na wanataka eti kulazimisha Mwinyi aje Bara ,huu ni upuuzi huyo Mwinyi atatuvurugia uchumi na muelekeo mzuri wa Nchi.
Mfano Samia sio tuu ana ushawishi kwenye jumuiya ya Kimataifa Bali ana vision ya kuinua watu maskini kwenda kwenye uchumi mzuri ,sera zake mfano kwenye Kilimo na Biashara/uwekezaji zimerejesha matumaini ya watu kujiajiri kwenye biashara na Kilimo.
Kama ni kufanya kazi basi Samia kafanya kazi mara 2 zaidi ya Samia mfano mdogo Magufuli Aliacha vipande 3 vya Sgr,Samia kaweka vipande 4 na kabla ya 2025 vipande vyote Vitakuwa na wakandarasi huku treni ikifanya kazi Kwa vipande 2 vya Mwanzo.Uzuri umesema chadomo, maana hakuna chama kinaitwa chadomo. Magufuli alipiga kazi Sana ila alipofika kwenye uchaguzi wa 2020 ili bidi auibe wote Tena akisaidiwa na TCRA kuzima mtandao nchi nzima.. Sasa wewe Kaa na huyo mama yako mtaona kitakachotokea. Naona Sasa hivi kaleta watekaji.
Mimi.namchagua mama Samia, sasa narudia, lete mtu wako hapa tumrarue.Endelea na kampeni zako, ila nakuhakikishia 100% hazitakusaidia na lolote. Muda ni mwalimu mzuri, tupo hapa tuombe uzima tu.
Sasa hili ni swali au jibu?Sera ya kilimo imebadilika tofauti na ile ya mwendazake?
Wewe unaweza kuwa Mzee ila ambae ni mzigo Kwa Nchi.Be serious na upunguze utoto. huyo Samiah ameanza kuwa in power lini?. Acha matusi, unajua nimezaliwa lini?. Huyo zaidi ya Kikwete kumbeba na Karume Hana jipya. Halafu Samia kaingia in power lini?, Zaidi ya kuanzia 2005? Halafu wewe kama mtoto usidhani wote watoto Kama wewe. Mimi kwangu Samiah ni junior politician.
Sasa unatakaje tumtoe mtu ambae anatimiza wajibu Kwa kubeti mtu wa kuokoteza?Bado tupo nyuma sana, Kama kila kitu serikali inachofanya ni hisani. Serikali haifanyi hisani Bali wajibu wake.
Wewe jamaa unasikitisha kwa kweli.Kuna watu wanajipigia mahesabu kugombea 2025.
Mama Samia bado ndiye best option kuendelea urais.
Stability ya kiuchumi iliyopo tusiiyumbishe, Issues zilizokuwepo bado mama amezimudu.
Kina Mwigulu, January, Mpina na hata wale wanaoenda kimyakimya kama simba mawindoni, muachieni mama Samia amalize kile alichokianza.
Sasa wale msionielewa msije niua buree, kwa hizi ndogo ndogo sina maokoto!
Mama Samia for 2025!
Kama ni kufanya kazi basi Samia kafanya kazi mara 2 zaidi ya Samia mfano mdogo Magufuli Aliacha vipande 3 vya Sgr,Samia kaweka vipande 4 na kabla ya 2025 vipande vyote Vitakuwa na wakandarasi huku treni ikifanya kazi Kwa vipande 2 vya Mwanzo.
Huo ni mfano mmja tuu kati ya mambo mengi aliyofanya ndio maana husikii Vyama kukaza.
Mwisho Kwamba aliiba Hilo ni Lako,always Huwa mkipigwa za uso mnasingizia Kuibiwa.Ukiwa na akili timamu kuchagua Chadema ni kubeti maisha .
chawa wa mdude kazini kupinga maendeleo hovyoooooooooChawa kazini .
Sasa unatakaje tumtoe mtu ambae anatimiza wajibu Kwa kubeti mtu wa kuokoteza?
Mnajichanganya mara hamna kitu mkionesha mara wajibu,so mpaka hapo mko driven na chuki binafsi hamna hoja Zenye mantiki 😂😂