President Samia for 2025!

Sawa pamoja na povu lako hili Je huelewi kwamba Duniani Kuna dollar crisis?

Je hujui kwamba shida ya dollar imeanza post covid 19? Na Je hujui kwamba hili ni tatizo la Nchi karibia zote za Afrika kuanzia Egypt Hadi Ghana?

Ulitaka Serikali itoe dollar bila rationing Ili uchukue uanguke?

Mwisho pamoja na wewe Kuzuia dollar hizo chache umewahi enda dukani ukakosa bidhaa kisa wewe umeuziwa Dola kidogo?

Punguza ujinga Mzee,Dola Iko reserved Kwa Ajili ya biashara zile Zenye umuhimu tuu Hadi hapo uchumi utakapokuja kutengamaa ndio itakuwa free tena.
 
Nje ya ccm kuna kina Lissu na wengine wa upinzani. Kama mnajua Samia for 2025 anatosha, kuna haja gani kufanya kampeni na kuchezea fedha bure? Pia tume ya uchaguzi haina sababu ya kuitisha uchaguzi mkuu kwa ngazi ya urais, iishie kwenye ubunge
 
Mtu yoyote anaweza kugombea sio lazima yeye...umeskia ww mpumbavu
Wewe Sasa ndio mpumbavu,Rais sio mtu wa majaribio kwamba Kila mtu hata mbumbumbu na wajinga kama wewe eti mnaweza Kugombea.

Kama huna hoja pita huko.
 
Nje ya ccm kuna kina Lissu na wengine wa upinzani. Kama mnajua Samia for 2025 anatosha, kuna haja gani kufanya kampeni na kuchezea fedha bure? Pia tume ya uchaguzi haina sababu ya kuitisha uchaguzi mkuu kwa ngazi ya urais, iishie kwenye ubunge
Kuna mgombea Huwa anashinda bila kampeni? Punguza kiwango chako Cha ujinga Mzee au ulitaka kusemaje?
 
Wewe usiyekuwa MPUMBAVU WAHED ulitaka nani wae mgombea 2025?
Kwanini mnakazana na mgombea kwani mmetumwa kupiga debe!?,kwanini msijadili maswala muhimu yanayohusu uchumi?,nimekuuliza unaelewa lolote kuhusu uchumi unakuja na habari za nani awe mgombea, una akili kichwani kweli!?.., mgombea akiwa nani anakusaidia nini miaka miwili kabla ya uchaguzi!?, Nchi inajiendea kama vile haina kiongozi nyie mpo hapa mmekazana na UCHAWA nikiwaita WAPUMBAVU nakosea!?????
 
You will be surprised...!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambieni akawalete DP-WORLD na Kikwete waje mtaani kumpigia kampeni.
Sio kila chaguo la CCM ni chaguo la wananchi.

Samia hakuchaguliwa na wananchi na hatawahi kuchaguliwa na wananchi.

Bali ataendelea kuwa Rais wa CCM kwa kura za Poli-CCM.

Kura za maruhani zitakuwa za kutosha mwaka 2025.
 
Chawa kama chawa, mnamponza huyo mama yenu kwa kusifiasifia ujinga. Ngoja niishie hapa ila muda utatupa majibu mazuri. Huo uchawa wenu una mwisho.
 
Wewe Sasa ndio mpumbavu,Rais sio mtu wa majaribio kwamba Kila mtu hata mbumbumbu na wajinga kama wewe eti mnaweza Kugombea.

Kama huna hoja pita huko.

Mbona Samiah ni WA majaribio. Maana hakuna aliye mchgua. Acheni uchawa wa kuabudu watu. Please.
 
Muda wa kampeni bado ila mmeanza kupiga kampeni. Kuna shida sehemu au kitojiamini.
 
Kuna mgombea Huwa anashinda bila kampeni? Punguza kiwango chako Cha ujinga Mzee au ulitaka kusemaje?
kampeni za nini wakati ana uhakika wa kushinda hata asipofanya kampeni? Naona unatokwa povu jingi ukijua asipofanya kampeni zile hela za kampeni hutapata. Mnafurahia kampeni zifanywe ili mvune fedha za bwerere
 
Mbona Samiah ni WA majaribio. Maana hakuna aliye mchgua. Acheni uchawa wa kuabudu watu. Please.
Ndio atagombea Sasa mpige kura na tutamchagua.

Mwisho Samia has been in power wabla hujazaliwa na amekuwa VP.

How comes VP awe wa kubahatisha kama hao wagonbea wenu wa mfukoni?
 
kampeni za nini wakati ana uhakika wa kushinda hata asipofanya kampeni? Naona unatokwa povu jingi ukijua asipofanya kampeni zile hela za kampeni hutapata. Mnafurahia kampeni zifanywe ili mvune fedha za bwerere
Hakuna kitu kama hicho,uhakika unatoka wapi bila kampeni?
 
Kwani tupo kwenye kampeni!?.., mbona mnalazimisha mambo ya mgombea!???, Ndo mmetumwa kupima upepo!?, mtakuja kushangazwa msiamini, hii nchi sio ya watu au kikundi fulani. Ina raia zaidi ya milioni 60. Ila kwasasa mmeamua kuwa chawa, Kwa muda mfupi mtafanikiwa, ila hamtadumu kwenye UCHAWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…