President Samia for 2025!

Tunajua wakati wa kampeni ndio msimu wa kuvuna fedha kiulaini toka kwa wagombea. Hawa chawaz tayari wamejiundia vitaasisi vya kuja kuvuna pesa wakati huo. Wameishaanza kupanua midomo kama makinda ya ndege wenye njaa kali.
 
Tunalazimishaje wakati Iko wazi alisema atagombea? Kwani wewe husikii huko kote kwenye chama wakisema Samia ndio mgombea 2025?

Tunajaribu kupambana na nyie mnaolazimisha asigombee na Kwa hoja za chuki bila sababu mfano utasikia mtu anakwambia hafai harafu haelzi hafai kumlinganisha n nani.

Pili yes tuko kwenye kampeni kwani hujui mwakani na 2025 Kuna Uchaguzi?

Kwani wewe huoni Machadomo kwenye mikutano Yao wanafanya kampeni?
 
Uzuri wanaosema hafai ni machadomo so who cares.

Na pia Hamsemi anaefaa ndio uzuri mwingine πŸ€ͺπŸ€ͺ

Uzuri umesema chadomo, maana hakuna chama kinaitwa chadomo. Magufuli alipiga kazi Sana ila alipofika kwenye uchaguzi wa 2020 ili bidi auibe wote Tena akisaidiwa na TCRA kuzima mtandao nchi nzima.. Sasa wewe Kaa na huyo mama yako mtaona kitakachotokea. Naona Sasa hivi kaleta watekaji.
 
We MPUMBAVU DUME vile vile ujue kuwa hii mada ni ya kisiasa.
Ujue kuwa lazima tuwe na choice ya mtu tunayempenda kusimama 2025.
Mi mkono unaenda kinywani sasa wewe ujitambue kuwa uchumi umekua au la.
 
We MPUMBAVU DUME vile vile ujue kuwa hii mada ni ya kisiasa.
Ujue kuwa lazima tuwe na choice ya mtu tunayempenda kusimama 2025.
Mi mkono unaenda kinywani sasa wewe ujitambue kuwa uchumi umekua au la.
Endelea na kampeni zako, ila nakuhakikishia 100% hazitakusaidia na lolote. Muda ni mwalimu mzuri, tupo hapa tuombe uzima tu.
 
Ndio atagombea Sasa mpige kura na tutamchagua.

Mwisho Samia has been in power wabla hujazaliwa na amekuwa VP.

How comes VP awe wa kubahatisha kama hao wagonbea wenu wa mfukoni?

Be serious na upunguze utoto. huyo Samiah ameanza kuwa in power lini?. Acha matusi, unajua nimezaliwa lini?. Huyo zaidi ya Kikwete kumbeba na Karume Hana jipya. Halafu Samia kaingia in power lini?, Zaidi ya kuanzia 2005? Halafu wewe kama mtoto usidhani wote watoto Kama wewe. Mimi kwangu Samiah ni junior politician.
 
Sera ya kilimo imebadilika tofauti na ile ya mwendazake?
 
Kama ni kufanya kazi basi Samia kafanya kazi mara 2 zaidi ya Samia mfano mdogo Magufuli Aliacha vipande 3 vya Sgr,Samia kaweka vipande 4 na kabla ya 2025 vipande vyote Vitakuwa na wakandarasi huku treni ikifanya kazi Kwa vipande 2 vya Mwanzo.

Huo ni mfano mmja tuu kati ya mambo mengi aliyofanya ndio maana husikii Vyama kukaza.

Mwisho Kwamba aliiba Hilo ni Lako,always Huwa mkipigwa za uso mnasingizia Kuibiwa.Ukiwa na akili timamu kuchagua Chadema ni kubeti maisha .
 
Mmeanza kuweweseka mapema Sana. Yule mdada Sophia Mjema karopoka kuwa Samia mpaka 2035. Siku sio nyingi akaliwa kichwa. Nashangaa nyie chawa mnapata wapi ujasiri wa kusema Rais Samiah atagombea Tena.
 
Endelea na kampeni zako, ila nakuhakikishia 100% hazitakusaidia na lolote. Muda ni mwalimu mzuri, tupo hapa tuombe uzima tu.
Mimi.namchagua mama Samia, sasa narudia, lete mtu wako hapa tumrarue.
 
Wewe unaweza kuwa Mzee ila ambae ni mzigo Kwa Nchi.

Anabebwa anaebebeka,kushikwa mkono sio kubebwa.Kwamba unabebwa tuu hata kama huna uwezo Hadi unakuwa VP na Sasa Rais? Wewe utakuwa kubwa jinga.

Mara ngapi Mbowe Huwa anasimulia jinsi alivyowabeba wanachama wenu from no where? By the way nani hajawahi shikwa mkono,nitajie hata mmja basi.

Kama Ghana ,mgombea ni Samia , mengine ni shida zako binafsi.

View: https://www.instagram.com/p/CzTo7KTIi46/?igshid=ZTduZTVvdTV5Y3R3
 
Bado tupo nyuma sana, Kama kila kitu serikali inachofanya ni hisani. Serikali haifanyi hisani Bali wajibu wake.
Sasa unatakaje tumtoe mtu ambae anatimiza wajibu Kwa kubeti mtu wa kuokoteza?

Mnajichanganya mara hamna kitu mkionesha mara wajibu,so mpaka hapo mko driven na chuki binafsi hamna hoja Zenye mantiki πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe jamaa unasikitisha kwa kweli.
 

Be serious mkuu, unaniambia Samiah Kapiga kazi mara mbili ya Magufuli? Aiseeh. Unaongelea SGR, hivi credit anapewa alieanzisha mradi au aliyeukuta mradi?. Hivi Magufuli angesema akae kimya Wala asilete bwawa la Nyerere au SGR, au kuujenga daraja la busisi, etc huyo Samiah angefanya kazi gani?. Mpe credit Magufuli kwa kuanzisha hiyo miradi.

Halafu nikukumbushe ya kwamba kipindi Cha Magufuli, nchi ilifikia uchumi wa kati wa Chini. Ila Leo tumerudi uchumi wa Chini tulipotoka. Pia ukumbuke Deni la Taifa limepanda Trilioni 30 kwa miaka mitatu. Sasa niambie ni kazi gani kubwa aliyoifanya mama Samiah kumzidi Magufuli?.

Mwisho, ni kweli uchaguzi wa 2020 uliibwa tena kwa lazima. Moja ya ushahidi wa wazi ilikuwa ni kuzimwa kwa internet siku moja kabla ya kupiga kura na ilikaa hivyo kwa wiki mbili. Hili Jambo lilikuwa halijawahi kutokea hapa Tanzania ndio ilikuwa mara ya kwanza. Tulikuwa tunayasikia Uganda kwa Miseveni ila yakatokea Tanzania. Bila kusahau ujinga wa kupigisha kura vyombo vya Usalama siku moja kabla ya uchaguzi huko Zanzibar kwa kisingizio Cha vyombo vya Usalama kumbe wamejaa vijana wa uvccm Pemba. Tukubali CCM bila wizi wa kura hawawezi kushinda chaguzi.
 
Sasa unatakaje tumtoe mtu ambae anatimiza wajibu Kwa kubeti mtu wa kuokoteza?

Mnajichanganya mara hamna kitu mkionesha mara wajibu,so mpaka hapo mko driven na chuki binafsi hamna hoja Zenye mantiki πŸ˜‚πŸ˜‚

Totautisha hisani na wajibu. Wewe unamsifia Samia kwenye mbolea as if ile ni hisani ameitolea mfukoni mwake. Ndio nakuambia serikali inapofanya Jambo sio hisani ni hukumu lake.

Halafu chuki unayo wewe. Mimi Sina chuki Bali naangalia mambo kwa mapana yake. Hatuwezi kuendelea kwa kupiga makofi kwa vitu vidogo kana kwamba Samiah anatoa msaada wakati ni mwajiriwa wa Wananchi. Punguza uchawa.
 
Nchi zingine maendeleo ni makubwa ila husikii kelele za chawa. Huku tu serikali kuujenga Tundu la choo tayari kelele za uchawa zinaanza. Tubadilike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…