President Samia for 2025!

Uyu pamoja ni rais , anaenda kuiachia fedhea kubwa sana ccm endapo uchaguzi ukifanyika
 
Mkuu , umeleta uzi mfupi lakini mzito na unaeleweka hasaa..!!

Mimi kunawatu natamani awatulize kisayansi tu, maana hao uliowataja hapo asiwachulie poa.
Kwani utamaduni wa CCM ukoje juu ya mihula miwili ya utawala? Mikutano mikuu ilimpitisha JPM akaingia katika kinyang'anyiro na wagombea kutoka vyama vingine vya kisiasa katika vipindi viwili tofauti kati ya 2015-20 na kisha 2020-25. Kama ilivyokuwa ada ndani ya chama hiki muhula wake wa pili hakupambanishwa na mtia nia mwingine awaye yeyote yule.

Mwaka 2021 JPM akaondoka katika nafasi ya urais baada kifo chake. Kwa kuwa urais ni zao la katiba, nafasi yake "by automatic" ikapaswa irithiwe na makamu wake ambaye alikuwa ni mgombea mwenza ya SSH.

SSH hakuwahi kabisa kuteuliwa na chama chake kugombea nafasi hiyo ya urais, kwa mujibu wa katiba ya chama hiki, kwa mara ya mwisho mgombea aliyepitishwa alikuwa ni JPM. Kwa hiyo basi nafasi hiyo kwa mwaka 2025 na kwa mujibu wa katiba yao haimzuii mtia nia yeyote kugombea katika nafasi hii ya urais
 
Uyu pamoja ni rais , anaenda kuiachia fedhea kubwa sana ccm endapo uchaguzi ukifanyika
Una dalili za kulewa demokrasia.
Wakati wa Magufuli aliwachagulia hadi wabunge, hakuna aliyesema fyoko.
CCM si ilikuwepo?
 
Una dalili za kulewa demokrasia.
Wakati wa Magufuli aliwachagulia hadi wabunge, hakuna aliyesema fyoko.
CCM si ilikuwepo?
Sawa sasa kikowapi?, unazungumzia nini alifanya kuliko wapi alipo, so naongea ujasiri mkubwa tu , uyu atakua mwenyekiti wa kwanza kuiachia fedhea kuu ccm.

Jidanganyeni kwamba njia za mwendazake alizotumia ndo zitawavusha, hamtakuja kuamini kitakachotokea uchaguzi ukifanyika jana sio leo na leo haiwezi kuwa kesho
 
Wewe Sasa ndio mpumbavu,Rais sio mtu wa majaribio kwamba Kila mtu hata mbumbumbu na wajinga kama wewe eti mnaweza Kugombea.

Kama huna hoja pita huko.
Acha ujinga.Kwahiyo akifa itakuaje?.Kwani magu asingefarik huyo mama ungemwona anafaa,yoyote anaweza kuongoza acha ufala.Una lolote chawa wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ambaye utashangaa ni wewe!
Utaachwa mdomo wazi, mama akipeta!
 
Stability ya uchumi? Hey guy are you serious with your pre-coercision?

No, she doesn't fit steering Tanzania further...Period!!
 
Stability ya uchumi? Hey guy are you serious with your pre-coercision?

No, she doesn't fit steering Tanzania further...Period!!
If you can't see the opportunities
If you think there is someone higher up to breastfeed you
If you stay put and expect handouts and bonuses

Man, then you are in the wrong Tanzania.
 
If you can't see the opportunities
If you think there is someone higher up to breastfeed you
If you stay put and expect handouts and bonuses

Man, then you are in the wrong Tanzania.
You are on the dark glimpse, thus lost destination down the abyss of monsters!!!
 
Rhetorics will only make you poorer, try filling your coffers, while you can.
You are one of the beneficiaries of the regime thereby behaving with sheer evil by propagating economic booming while it is vice versa. You must be a hardcore crook tapping the country's wealth for personal advantage while depriving the indigenous right to challenge your poor administration of the sitting regime.
 
Thats a stupid way of looking at things.
If you have NO firm to scout oppurtunities, you pay no taxes, and yet expect handouts , that's your problem buddy.
 
Natabiri 2025 pesa itamwagika Sana kwenye kampeni.

Wale Vijana wa 'UNATUACHAJE' kaeni mkao wa Kula, muda wa kupiga unakaribia.
 
Mkuu mpashe huyo jamaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…