#COVID19 President Samia hires Tony Blair to help in the fight against COVID-19, and rebuild the country's reputation

B
Former British Prime Minister Tony Blair has made two official visits to Tanzania since Samia Suluhu Hassan assumed the presidency in March this year after the sudden death of her predecessor, John Magufuli.

Government officials say that the Tony Blair Institute for Global Change has been hired by President Samia to handle two of her administration’s key projects: the fight against Covid-19 and rebuilding Tanzania’s international reputation.

In July, Blair paid his first courtesy call to Tanzania where he and President Samia discussed how to combat the Covid-19 pandemic.

Blair said his institute is responsible for facilitating the testing and distribution of vaccines, and may help Tanzania to access top vaccine producers.

Credits: The Africa Report
"British Standards" (BS). No country has ever been built by outsiders; the myopic Msoga view of nation building is just "British Standards."
 
Nonsense, utawala wake unabambikia watu kesi halafu anamuajiri Blair kurekebisha mambo, hizi akili za pwani shida sana, na wajinga wanashangilia.

Blair atafanya kitu gani kuwashawishi watanzania kuchanja? kwanza hata kiswahili sidhani kama anakijua.

Magufuli is no more, simply waache yale maovu yaliyokuwa yakifanywa na awamu ya tano, lakini kuyaendeleza halafu unaenda kumuajiri mzungu akakusafishe ulaya ni ujinga, zaidi ni uhujumu uchumi.

Huu kwangu ni mfano mwingine wa matumizi mabaya ya fedha za umma, kumuajiri Blair wakati Mulamula yupo na analipwa mshahara na serikali ni uwendawazimu.

Samia personally anatakiwa achukue hatua za dhati kurekebisha mambo, serikali yake iache kubambikia wapinzani kesi, uhuru wa kutoa maoni uwepo, chaguzi za kidemokrasia ziwepo, hayo yakifanyika hakuna sababu kuajiri mzungu kwa ajili kuweka mambo sawa.
 
Former British Prime Minister Tony Blair has made two official visits to Tanzania since Samia Suluhu Hassan assumed the presidency in March this year after the sudden death of her predecessor, John Magufuli.

Government officials say that the Tony Blair Institute for Global Change has been hired by President Samia to handle two of her administration’s key projects: the fight against Covid-19 and rebuilding Tanzania’s international reputation.

In July, Blair paid his first courtesy call to Tanzania where he and President Samia discussed how to combat the Covid-19 pandemic.

Blair said his institute is responsible for facilitating the testing and distribution of vaccines, and may help Tanzania to access top vaccine producers.

Credits: The Africa Report
Aisee - Sasa Waziri wa Mambo ya Nje anafutwa kazi maana kazi zake zinafanywa na TB. Na Waziri wa Afya naye kibarua kinaota nyasi? Maana uratibu wa Covid 19 sasa utafanywa na TB.

Hivi Mwl Nyerere, alijenga reputation ya Tanzania kwa kum-hire nani amsaidie? Labda siijui taarifa hii.
 
Hongera sana kwa Rais Samia
Ukweli hao jamaa wametuzidi sana maarifa yao yatatusaidia
 
Former British Prime Minister Tony Blair has made two official visits to Tanzania since Samia Suluhu Hassan assumed the presidency in March this year after the sudden death of her predecessor, John Magufuli.

Government officials say that the Tony Blair Institute for Global Change has been hired by President Samia to handle two of her administration’s key projects: the fight against Covid-19 and rebuilding Tanzania’s international reputation.

In July, Blair paid his first courtesy call to Tanzania where he and President Samia discussed how to combat the Covid-19 pandemic.

Blair said his institute is responsible for facilitating the testing and distribution of vaccines, and may help Tanzania to access top vaccine producers.

Credits: The Africa Report
Rais wetu hamwitaji Tony Blair hata kidogo. Tanzania ndiyo iliyoikomboa hata Uingereza kifikra katika masuala ya ubaguzi na hata utawala katika misingi ya demokrasia ya kweli (Rejea msimamo wa Tanzania kuhusu ubaguzi wa rangi Afrika Kusini na Utawala wa walio wengi Zimbabwe). Hii misimamo ya nchi ndiyo inaliletea taifa heshima anayoitaka. Rais wetu arudie kwenye utawala bora aliouanzisha Mzee Mkapa hakumalizia vizuri katika kuunda taasisi zenye ujuzi na weledi; achague viongozi chini yake kwa misingi ya "merits" inayotokana na mapendekezo ya vyombo vyenye sifa (siyo maoni ya mtu binafsi au kwa misingi ya zamu ya kula nchi); na aruhusu demokrasia ya dhati ya vyama vingi ambayo ndiyo sera ya CCM. Akiamua Watanzania wa kunsaidia kurudisha heshima ya Tanzania wapo mradi watokane na uchambuzi wa kitaasisi. Tony Blair!!? Jamani!
 
Hii nchi nadhani nadhani tatizo kubwa ni elimu yetu mbovu, hivi kazi ya Balozi nje ya nchi ni ipi? Tuna Balozi wa kudumu UN na tuna waziri wa mambo ya nje, hakuna haha ya kuhire institute ya Blair kujenga reputation hewa iliyopotea. Hivi hiyo reputation iliyopotea kimataifa ni ipi?

Pia ni low IQ ya Hali ya juu kuhire Blair institute Kwa sababu ya Tanzania ku access COVID 19 vaccines, ni utopolo Kwa ufupi maana tuna wizara ya afya, tuna MSD ambayo imekuwa ikiagiza na kusambaza madawa nchini na mbaya zaidi tuna kitengo na watalaam wa tiba ya magonjwa ya mlipuko yaani hao wote hawana uwezo w ku access COVID 19 vaccines?

Tony Blair ni mfanya biashara anajua Samia world bank wame approve pesa za COVID 19 , hivyo yeye anawaza ile pesa kwenda kwenye institute yake na kampata mama yenu mpendwa, hata USA na mataifa Yana sukuma kila nchi za Dunia ya tatu wapate pesa kutoka world bank ili in return pesa zote zinarudi kwao kw ajiri ya kupata chanjo za corona by force , sisi kama nchi tutabakiwa na kulipa loans na pesa itakuwa imekwenda kwao, kwahiyo ni lazima uwe kiongozi wa kutafakari haya mambo Kwa kina sio kuitikia Kwa kila jambo.

Mataifa hayo wanajua Tanzania population inskuwa , mil60 kuchanjwa wote maana yake serikali itshitaji si chini ya trilion 3 , so world bank na IMF na WHO hawaoni shida ku approve pesa Kwa ajiri ya chanjo Kwa sababu immediately zikiwa approved astrazeneca, Pfizer, Johnson ndo hao wata supply hizo dawa, hivo WHO Yuko pale kutoa mapande kama yakina zidane kwao, so go against ndipo utaona Cha moto. Tujiulize tu ni proposal ngapi ziko pending world bank kutoka Tanzania au nchi zingine za Dunia ya tatu kuomba fedha za kuanzisha viwanda ili kujikwamue na kuweka vijana wetu kwenye ajira hazijawa approved? Ok good let's focus on COVID-19, tuko million 60, tuliochanjwa laki 3 , waliokufa hawafiki hata elfu moja, hata tunapoongea hapa Bado mil60 yote hawako mahospitalini wakipumulia machine na haitatokea , hii force kutoka majuu sio Kwa ajili ya kuzuia corona na Kwa ajili ya kuuza vaccines, hatukatai tusichanjwe lakini kama taifa tuangalie priority zetu na agenda zetu kwanza, agenda ya taifa hili sio kuhire institute kuondoa reputation hewa, agenda yetu ni maendeleo na kuondoa umasikini uliokithiri Tanzania, vijana wapate ajira wajiingizie kipato na sio mengine .
 
... tatizo unafiki umezidi nchi hii kuanzia huko chamani; badala ya kuita kitu kwa jina lake halisi kazi kuzungusha maneno. Call a spade a spade!
Mimi nadhani mtu wa kwanza anayetakiwa ku-build hiyo reputation anatakiwa kuwa rais Samia mwenyewe. Akubali demokrasia ichukuwe mkondo wake na watu wenye mawazo tofauti na yeye asiwaone kero.
 
Former British Prime Minister Tony Blair has made two official visits to Tanzania since Samia Suluhu Hassan assumed the presidency in March this year after the sudden death of her predecessor, John Magufuli.

Government officials say that the Tony Blair Institute for Global Change has been hired by President Samia to handle two of her administration’s key projects: the fight against Covid-19 and rebuilding Tanzania’s international reputation.

In July, Blair paid his first courtesy call to Tanzania where he and President Samia discussed how to combat the Covid-19 pandemic.

Blair said his institute is responsible for facilitating the testing and distribution of vaccines, and may help Tanzania to access top vaccine producers.

Credits: The Africa Report
If this story is not yet denied by the Government, then, it's obvious we've the stupidest Government ever since independence!
 
Kashachemsha mama, dunia imeishamjua kuwa hana msimamo,anaendeshwa na washikaji wake wa zamani
 
Mimi nadhani mtu wa kwanza anayetakiwa ku-build hiyo reputation anatakiwa kuwa rais Samia mwenyewe. Akubali demokrasia ichukuwe mkondo wake na watu wenye mawazo tofauti na yeye asiwaone kero.
... inner circle imemzingira pande zote Mkuu! Hafurukuti kwa wahafidhina.
 
Former British Prime Minister Tony Blair has made two official visits to Tanzania since Samia Suluhu Hassan assumed the presidency in March this year after the sudden death of her predecessor, John Magufuli.

Government officials say that the Tony Blair Institute for Global Change has been hired by President Samia to handle two of her administration’s key projects: the fight against Covid-19 and rebuilding Tanzania’s international reputation.

In July, Blair paid his first courtesy call to Tanzania where he and President Samia discussed how to combat the Covid-19 pandemic.

Blair said his institute is responsible for facilitating the testing and distribution of vaccines, and may help Tanzania to access top vaccine producers.

Credits: The Africa Report
Rubbish , without these bandits of the world nothing could be done?,shame for the whole adminstrations
 
President Samia hires ex UK PM to build Tanzania image! How much have we paid? Do we really Blair gonna build Tanzania image in international spheres? Do he really loves Tanzania or he is just an imperialism agent? Do we really they are for our good?

Vv
 
Rais wetu hamwitaji Tony Blair hata kidogo. Tanzania ndiyo iliyoikomboa hata Uingereza kifikra katika masuala ya ubaguzi na hata utawala katika misingi ya demokrasia ya kweli (Rejea msimamo wa Tanzania kuhusu ubaguzi wa rangi Afrika Kusini na Utawala wa walio wengi Zimbabwe). Hii misimamo ya nchi ndiyo inaliletea taifa heshima anayoitaka. Rais wetu arudie kwenye utawala bora aliouanzisha Mzee Mkapa hakumalizia vizuri katika kuunda taasisi zenye ujuzi na weledi; achague viongozi chini yake kwa misingi ya "merits" inayotokana na mapendekezo ya vyombo vyenye sifa (siyo maoni ya mtu binafsi au kwa misingi ya zamu ya kula nchi); na aruhusu demokrasia ya dhati ya vyama vingi ambayo ndiyo sera ya CCM. Akiamua Watanzania wa kunsaidia kurudisha heshima ya Tanzania wapo mradi watokane na uchambuzi wa kitaasisi. Tony Blair!!? Jamani!
Big shame
 
The end justifies the means (mwisho wao upo)
Wacha tuitwe team Magufuli na mengine mengi lakini dhamiri yake na nia yake njema hata iko wazi kwa kila mmoja.
Kweli ni dhahiri tumepotoka kiasi cha kujikabithi chini ya shetani. Mungu wetu hawezi kukubali taifa letu lidhalilike hakika atajibu kwa upanga na moto
Zaburi 109
 
Kuna baadhi ya mambo alianza kuyajibu March 17
 
Hii nchi nadhani nadhani tatizo kubwa ni elimu yetu mbovu, hivi kazi ya Balozi nje ya nchi ni ipi? Tuna Balozi wa kudumu UN na tuna waziri wa mambo ya nje, hakuna haha ya kuhire institute ya Blair kujenga reputation hewa iliyopotea. Hivi hiyo reputation iliyopotea kimataifa ni ipi?

Pia ni low IQ ya Hali ya juu kuhire Blair institute Kwa sababu ya Tanzania ku access COVID 19 vaccines, ni utopolo Kwa ufupi maana tuna wizara ya afya, tuna MSD ambayo imekuwa ikiagiza na kusambaza madawa nchini na mbaya zaidi tuna kitengo na watalaam wa tiba ya magonjwa ya mlipuko yaani hao wote hawana uwezo w ku access COVID 19 vaccines?

Tony Blair ni mfanya biashara anajua Samia world bank wame approve pesa za COVID 19 , hivyo yeye anawaza ile pesa kwenda kwenye institute yake na kampata mama yenu mpendwa, hata USA na mataifa Yana sukuma kila nchi za Dunia ya tatu wapate pesa kutoka world bank ili in return pesa zote zinarudi kwao kw ajiri ya kupata chanjo za corona by force , sisi kama nchi tutabakiwa na kulipa loans na pesa itakuwa imekwenda kwao, kwahiyo ni lazima uwe kiongozi wa kutafakari haya mambo Kwa kina sio kuitikia Kwa kila jambo.

Mataifa hayo wanajua Tanzania population inskuwa , mil60 kuchanjwa wote maana yake serikali itshitaji si chini ya trilion 3 , so world bank na IMF na WHO hawaoni shida ku approve pesa Kwa ajiri ya chanjo Kwa sababu immediately zikiwa approved astrazeneca, Pfizer, Johnson ndo hao wata supply hizo dawa, hivo WHO Yuko pale kutoa mapande kama yakina zidane kwao, so go against ndipo utaona Cha moto. Tujiulize tu ni proposal ngapi ziko pending world bank kutoka Tanzania au nchi zingine za Dunia ya tatu kuomba fedha za kuanzisha viwanda ili kujikwamue na kuweka vijana wetu kwenye ajira hazijawa approved? Ok good let's focus on COVID-19, tuko million 60, tuliochanjwa laki 3 , waliokufa hawafiki hata elfu moja, hata tunapoongea hapa Bado mil60 yote hawako mahospitalini wakipumulia machine na haitatokea , hii force kutoka majuu sio Kwa ajili ya kuzuia corona na Kwa ajili ya kuuza vaccines, hatukatai tusichanjwe lakini kama taifa tuangalie priority zetu na agenda zetu kwanza, agenda ya taifa hili sio kuhire institute kuondoa reputation hewa, agenda yetu ni maendeleo na kuondoa umasikini uliokithiri Tanzania, vijana wapate ajira wajiingizie kipato na sio mengine .
Well Said ,God bless you!,jukwaa linahitaji great thinker like you,sio hawa wapambaji
 
If this story is not yet denied by the Government, then, it's obvious we've the stupidest Government ever since independence!
Hata wakikana huo ndio ukweli, tafuta gazeti la mwezi ule alipokuja, malengo ya ziara ya Blair yaliwekwa wazi na serikali haikukakanusha, wakikanusha leo watakuwa wanafiki na wakurupukaji.

Vv
 
Back
Top Bottom