President Samia Suluhu Uganda's trip

Status
Not open for further replies.
Samia hataki majungu na Kenya. Majungu ameyawacha nyuma. Samia hatafuata itikadi kali za mtangulizi wake kuhusu Kenya. Naona hata mama kavaa mask katika hafla ya Uganda. Fahamu kuwa Samia ana akili yake na wala habebewi akili na mtu. Ni mama mwerevu
 
Baada ya kuwachamba dole juzi sio? Mkaja kuomba msamaha huku mnatembea kwa magoti? Sasa unawezaje kwenda nchi jirani usivae mask kama sheria zinavyotaka? Wewe ni mpumbavu wa aina gani huko kichwani kumejaa funza au?
 
CAG mustahafu anasema hizo ndege zipigwe bei shirika lote lifutwe. Tanzania ya sasa hadi raha. Hakuna jema ata moja kwa kipindi cha miaka 6 iliyopita.
Kwakuwa madeni yako pale pale basi pesa zilipwe tuanza afresh even at the cost of selling them planes. Pia wanasiasa hawapaswi kuwepo kwenye boards za wakurugenzi na wajumbe. HII NCHI BADO TUPO KWENYE FEUDAL STAGE HATA VIONGOZI WANAMAWAZO KAMA YA JUZI MAANA UONGOZI NI SOMETIMES CIRCUMSTANCIAL, ACCIDENTAL, PLANNED FOR GROUP FOR OWN BENEFITS SASA MZIKI VIONGO HAWA HULKA YA KUWA CONSISTENT marekebisho ya fanyike ila misimamo ya kidhibiti uzembe na rushwa iwe kwa vitendo hakuna huruma tunataka MATOKEO SIO STORY ila ndo ivo sasa eliewaloga sisiem kafa na tutapata tabu sana na vile raia wenyewe geugeu kila mtu na mambo yake Lissu kapigwa watu kimya badala hata ya haohao Wazalendo kujitokeza wengi na kuzingua ila uzalendo ni polisi kuingia na kutembeza kichapo, sidhani kama watu hujua nn maana ya uzalendo, uzalendo sio kupenda serikali au kuichukia, uzalendo sio kupenda raisi au kumchukia, uzalendo ni kusimamia misingi ya katiba na mwongozo wa sheria na haki za binadamu, usawa na uhuru wakuzungumza lolote na kwanza juu mpaka chini kuna uwajibikaji kwa nafasi yako ukizingua unazinguliwa
 
Baada ya kuwachamba dole juzi sio? Mkaja kuomba msamaha huku mnatembea kwa magoti? Sasa unawezaje kwenda nchi jirani usivae mask kama sheria zinavyotaka? Wewe ni mpumbavu wa aina gani huko kichwani kumejaa funza au?
Sasa si nyinyi mnaamini corona haipo sasa nilitegemea msivae mask mahali popote muendapo. Lakini ni vizuri kuona mabidiliko yakifanyika polepole Tanzania. Hivi karibuni usishangae mkiambiwa nyote mvae mask.
 
Endelea na ufala wenu ndo maana majirani wanawapotezea hebu niambie when was the last time Uhuru amepewa invitation Uganda? Mna tabia ya kufarakanisha majirani! Nakumbuka mmejitahidi sana kumualika Mseveni mara aje kuangalia sgr mara aje kuangalia Mombasa port lakini wapi Pipeline imebaki Tanzania na wala hajamkaribisha Uhuru! JPM ameenda sana Uganda na Museveni kaja sana Tanzania!
 
Hamna shida. Kuleni tu mnofu mliotuibia.
 
Hii obsession ya Kenya kwa Tanzania inashangaza sana, hivi kuna ulazima gani mtu kutangaza kwenye nchi yake msiba wa nchi ya jirani kama msiba wa taifa lake na kuweka siku za maombolezo, kushiriki kwenye shughuli za msiba, kuandika salamu rasmi za rambirambi

Then bado tena unatuma ujumbe hata mwezi hujaisha on the same topic? Hii ni obsession au fanaticism?

Kwanini kila mtu tu asiendelee na maisha yake, Kenya ina matatizo karibu nusu ya matatizo ya Bara Zima la Africa yapo Kenya, wanapata wapi huu muda?
 
CAG mustahafu anasema hizo ndege zipigwe bei shirika lote lifutwe. Tanzania ya sasa hadi raha. Hakuna jema ata moja kwa kipindi cha miaka 6 iliyopita.
We unaona jema gani zaidi ya mauchafu yanayolitia taifa hasara isiyomithilika.
 
Sasa si nyinyi mnaamini corona haipo sasa nilitegemea msivae mask mahali popote muendapo. Lakini ni vizuri kuona mabidiliko yakifanyika polepole Tanzania. Hivi karibuni usishangae mkiambiwa nyote mvae mask.
We kichaa Korona haipo Tanzania ndo maana haziviwi ila nje ya Tanzania si salama so lazma tujilinde
 
Samia hataki majungu na Kenya. Majungu ameyawacha nyuma. Samia hatafuata itikadi kali za mtangulizi wake kuhusu Kenya. Naona hata mama kavaa mask katika hafla ya Uganda. Fahamu kuwa Samia ana akili yake na wala habebewi akili na mtu. Ni mama mwerevu
Mnajikomba sio??

Lakini sio mbaya, umoja ni nguvu au sio??

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
CAG mustahafu anasema hizo ndege zipigwe bei shirika lote lifutwe. Tanzania ya sasa hadi raha. Hakuna jema ata moja kwa kipindi cha miaka 6 iliyopita.
Mzee unakichwa kigumu mno, mstaafu kasema kabla hujafufua shirika jipya ilibidi uue lililopo ili kuua madeni ndio ufufue jipya, amemaanisha kabla hizi ndege mpya hazijanunuliwa ilibidi tuue shirika lililokuwepo
 
Tony254 Unaangalia signatures zikimwagika? BTW the chairman n CEO of TOTAL kasema total investment itakuwa $10 bln!

Mbona Kenya hamjatuma hata Balozi? Ni kususa ama?
Ni sawa naitazama live. Kumbe mama ana kizungu kitamu hivi? Nnajua amesomea UK. Sio kama mtangulizi wake ambaye alikuwa analemewa na kizungu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…