Hii obsession ya Kenya kwa Tanzania inashangaza sana, hivi kuna ulazima gani mtu kutangaza kwenye nchi yake msiba wa nchi ya jirani kama msiba wa taifa lake na kuweka siku za maombolezo, kushiriki kwenye shughuli za msiba, kuandika salamu rasmi za rambirambi
Then bado tena unatuma ujumbe hata mwezi hujaisha on the same topic? Hii ni obsession au fanaticism?
Kwanini kila mtu tu asiendelee na maisha yake, Kenya ina matatizo karibu nusu ya matatizo ya Bara Zima la Africa yapo Kenya, wanapata wapi huu muda?