Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hayo ni maoni yake nami nina yangu ziendelee kununuliwa at least zifike 25!CAG mustahafu anasema hizo ndege zipigwe bei shirika lote lifutwe. Tanzania ya sasa hadi raha. Hakuna jema ata moja kwa kipindi cha miaka 6 iliyopita.
Kuna nchi imetuma delegation haiachi kulamba miguu ya Rais waTanzania!Zile NGOs feki zinazo tumia mgongo wa mazingira kumbe zina agenda nyingine ndani yake zinasemaje [emoji23][emoji23][emoji23]
Wameshaanza shobo kwa Mama mapema yote hii!Kuna nchi imetuma delegation haiachi kulamba miguu ya Rais waTanzania!
Huu ulikuwa una uhusiano na Kenya?Moderator uzi huu hauna uhusiano wowote na Kenya. Naomba uupeleke kwenye uzi wa Uganda.
Nina uhakika hata Uhuru anaangalia akiwa kwa cage pale state house Nairobi! Akiwa mpole kama kanyeshewa anaangalia true neighbors wakifanya yao kwenye mega deals while Kenya reduced to a mere spectator!Anyway nimeweka reminder kwenye youtube. Nitaitazama live nione ikiwa mkataba hususan FID utatiwa saini. Ila french alishatuambia kuwa FID haitatiwa saini. Kwa hivyo this is alot of hullabaloo about nothing. Ujenzi hautaanza mpaka FID utiwe saini na hatujui FID utatiwa saini lini.
Kumbe ndio sababu unataka huu uzi uhamishwe forum, WivuuAnyway nimeweka reminder kwenye youtube. Nitaitazama live nione ikiwa mkataba hususan FID utatiwa saini. Ila french alishatuambia kuwa FID haitatiwa saini. Kwa hivyo this is alot of hullabaloo about nothing. Ujenzi hautaanza mpaka FID utiwe saini na hatujui FID utatiwa saini lini.
Anyway nimeweka reminder kwenye youtube. Nitaitazama live nione ikiwa mkataba hususan FID utatiwa saini. Ila french alishatuambia kuwa FID haitatiwa saini. Kwa hivyo this is alot of hullabaloo about nothing. Ujenzi hautaanza mpaka FID utiwe saini na hatujui FID utatiwa saini lini.