President Trump has been Impeached after the House of Representatives voted in favour of charging him with abuse of power and obstruction of Congress

President Trump has been Impeached after the House of Representatives voted in favour of charging him with abuse of power and obstruction of Congress

Marais wa Afrika wamepata matukio mkubwa kwa habari hii. Wametambua kuwa inawezekana.
 
Game on.. [emoji119][emoji848]
1. Wakimchmoa itakuwa muujiza! Two third votes kumpinga so rahisi kufikiwa.
2. In any way, mission ya Democtratics imefanikiwa: kupunguza spidi ya Trump mwakani, kutahadharisha raia na mamlaka mbalimbali juu ya tahadhari na hatari ktk uchaguzi ujao.
3. Uchaguzi wa mwakani ni mgumu. Rep. watakuwa wanawaza kwa kina namna ya kumvisha 'the tweet master'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hujui unachoongea......

hii ishu ya awamu hii iko partisan sana kiasi kwamba ni nguvu kufikia hitimisho la pamoja..... Nixon alifanya kosa na ushahidi ulikuepo, Clinton alifanya kosa na ushahidi ulikuepo......

trump ameku impeached kwa sababu dems hawampendi,, kumbuka walitangaza wazi wazi 2016 mara baada ya matokeo kwamba they will impeach him..... unakumbuka lakn??

2016-18 walishindwa kwa vile hawakua na majority kwenye either chamber..... mwaka jana ndio wamepata majority na hivyo wameanza na jana kufanikiwa!.... ilijulikana kwamba watafanya hivyo mda mrefu!

ilianza russia collusion, wakakosa ushahid, wakaja na porn star payment wakakosa ushahidi, time was running out wakapata hii ukraine wamekomaa nayo!...... 2020 was around the corner
Siyo kweli; wakati wa impeachment ya Clinton mwaka 1998, Congress na Senate zilikuwa chini ya Republican na bado hawakumtoa. Mwaka 1974 wakati wa impeachment ya Nixon, iwapo senators wote 42 wa republican wangesimama kumtetea Nixon, bado asingeondolewa lakini hao hao ndio waliomwambia Nixon kuwa amevunja sheria itabidi aondolewe, ndiyo maana Nixon akajiuzulu mapema. Wakati huo wanasiasa wa Marekani wote walikuwa na adui mmoja, yaani ukomunist, kwa hiyo walikuwa wanaedesha siasa zao za ndani kwa kufuata ukweli na sheria sana. Kuanzia Gingrich achafue mfumo wa kisiasa mwaka 1994, huku kukiwa hakuna hofu ya ukomusit tena, wamarekani walianza siasa za kugombana wenyewe kwa wenyewe kufuata itikadi za vyama bila hata kuangalia ukweli na sheria ziasemaje. Wote wanaomtetea Trump leo wanafanya hivyo tu kwa sababu ni wa chama chao, ingawa wanaona ukweli wa wazi wazi kuliko ule wa Benghazi au wa Fire na Fury wakati wa utawala wa Obama.

Nadhani utakuwa umewaona jinsi watetezi wa Republican wanavyowayawaya hovyo hovyo bila mantiki yoyote: Kwa mfano wanataka Whistle blower ajulikane, wakati yeye alichofanya ni kutoa tahadhali tu kuwa kuna jambo baya lifuatiliane, na wala kwenye list ya ushahidi hakuna hata neno moja la huyo Whistle blower lakini wao wameng'ang'ania huko huko na kuacha ushahidi wote uliotolewa na viongozi wa serikali waliohusika. Vile vile wanalalamika kuwa utaratibu siyo wa haki wakati Kamati zote za Congress zina wajumbe waliochaguliwa na vyama vyao, halafu utaratibu unaofuatwa ni ule uliowekwa na wao haoa hao Republican wakati walipokuwa majority.

Trump aliwahi kusema hivi kuhusu Obama hivi

Leo maneno yake yamemrudia mwenyewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye Senate wengi ni Democrats ama Republicans?

Mwenye ujuzi atufahamishe tafadhali
Kwenye balaza lao la senet wengi ni wa Republican so watu wengi wanategemea kumbakiza Trump madarakani lakin wasichokijua akili za wazungu huwa tofauti kabsa, kama ni serous allegations basi si ajabu watu wake wakamukaanga maana kuna ambao huwa wanampinga mambo yeke. But all in all hao marepublicani huwa ni mafia chama (wahafidhana) so tunaexpect hayatamtoa ila kwenye uchanguzi ujao ndani ya chama anaweza asishinde akawa ni one term presedaa
 
hata labour pale uk walidhan hivyo hivyo.....mkuu usipende tu kusikiliza media zao pia soma taarifa zote hasa ripoti wanazotoa utagundua hawana ushahidi ili wamefanya kama remedy kupooza kundi lao lililoshindwa.........

ukitaka kujua hili, rudi 2016 baada ya matokeo utagundua kwann dems wameamua hivi
1. Wakimchmoa itakuwa muujiza! Two third votes kumpinga so rahisi kufikiwa.
2. In any way, mission ya Democtratics imefanikiwa: kupunguza spidi ya Trump mwakani, kutahadharisha raia na mamlaka mbalimbali juu ya tahadhari na hatari ktk uchaguzi ujao.
3. Uchaguzi wa mwakani ni mgumu. Rep. watakuwa wanawaza kwa kina namna ya kumvisha 'the tweet master'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rep. John Lewis, D-Ga

"When you see something that is not right, not just, not fair, you have a moral obligation to say something, to do something. Our children and their children will ask us what did you do? What did you say? For some, this vote may be hard. But we have a mission and a mandate to be on the right side of history."
Hii imenikumbusha habari moja ambayo siwezi kusahau. Kuna mbunge mmoja siku za nyuma alisema wajukuu zetu watakuja kufukua makaburi yetu wapime ubongo wetu ulikuwa wa jinsi gani baada ya kuona mambo ya hovyo tunayotenda. Wenzetu wao wametambua hilo kwa kuwawekea watoto wao msingi mzuri wakati sisi tunawekeana misingi ya kubaguana.
 
  • Ni jambo lililokuwa linaonekana
gumu lakini hatimaye bunge la Marekani limepiga kura kumuondoa madarakani Rais Donald Trump leo trh 19/12/2019

Hongereni sana watu wa Amerika lakini tunapaswa kama watanzania tujifunze kutoka kwa wenzetu walioendelea
 
Pole Trump.... hapo ni House of reprensentatives...

Nadhani itaenda kwa senate ndiyo waamue anabaki au anaodoka.
 
  • Ni jambo lililokuwa linaonekana
gumu lakini hatimaye bunge la Marekani limepiga kura kumuondoa madarakani Rais Donald Trump leo trh 19/12/2019

Hongereni sana watu wa Amerika lakini tunapaswa kama watanzania tujifunze kutoka kwa wenzetu walioendelea
Muone mburula huyu! Uliza mchakato wa kumtoa Rais wa Marekani unaishaje?
 
Bado , siyo rahisi kama unavyofikiri

Sent from my Tapatalk
 
Hivi kwa akili zako unafikiri baraza la Senet ambalo ni Bunge kubwa kwa Marekani lenye wabunge wengi wa Democrat na ambao wako chama kimoja pamoja na Trump wataridhia uamuzi huo? Asalaleee!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom