President Uhuru Kenyatta in military uniform - PHOTOS

Hata nami mkuu nampenda Uhuru Kenyata. Nam follow sehemu nyingi tu. Ila kwa viongozi wa Africa si vizuri kuji sifu na nguo za kijeshi. Nguo za kijeshi kwa rais zina potlay kwamba wewe ni mtawala na si kiongozi!?
 
Kama angelivaa hivyo kwa hafla nyingine tofauti ya mambo ya kijeshi, hiyo ingekua ishara mbaya, lakini hapa amewatembelea jamaa kwenye shughuli zao na kutengamana nao.
 
Haki ya Mungu zimemtoa chicha
 
halafu jamaa anavyo penda kuuza sura facebook,hizi picha lazima atakuwa ka-share kwenye wall yake.nina sikia JK ni mwanajeshi kamili (ulumn of monduli military academy) ,mbona hajawahi kuvaa haya mavazi.?.

Very predictable, you guys needs to be very careful otherwise this is not good for your health, especially sugar level and blood pressure. Mnaumiza mioyo zenu bure.
 
anaonekana legelege kuliko hata mtu wa mtaani. bahati mbaya ndiye rais pekee laini asiyekuwa mwanajeshi katika east africa.anatia huruma aisee.
 
anaonekana legelege kuliko hata mtu wa mtaani. bahati mbaya ndiye rais pekee laini asiyekuwa mwanajeshi katika east africa.anatia huruma aisee.

Lakini ndio rais intelligent kuliko wanajeshi marais wa east africa
 
Duh, lakini hapo al shabaab wakimshtukizia jamaa atavua hayo magwanda na kukimbia. Hizo simu alizozishika atazitupa na hata huo mkongojo atausahau. Mbwembwe tupu!
 
Duh, lakini hapo al shabaab wakimshtukizia jamaa atavua hayo magwanda na kukimbia. Hizo simu alizozishika atazitupa na hata huo mkongojo atausahau. Mbwembwe tupu!

kama kawaida sulking tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…