- Nampenda rais Uhuru Kenyatta
- Kawaida kabla niweke news huwa natafuta kama kuna taarifa zozote kuna mtu kaziweka zinazofanana
- Sasa hivi ndio nimengundua tayari hii imewekwa kwenye Kenya politics
- Hivyo basi namuomba mod aipeleke huko kwa siasa.
Hata nami mkuu nampenda Uhuru Kenyata. Nam follow sehemu nyingi tu. Ila kwa viongozi wa Africa si vizuri kuji sifu na nguo za kijeshi. Nguo za kijeshi kwa rais zina potlay kwamba wewe ni mtawala na si kiongozi!?