President Uhuru Kenyatta in military uniform - PHOTOS

President Uhuru Kenyatta in military uniform - PHOTOS

10628402_338847822960080_8166580678399583093_n.jpg
 
Inapokuja emergence ndio utajua bro

Siombei hilo ila live fire ya heavy carbine hata battle hardened wengine hupoteana mkuu!!!!!
Tena "emergency" kama ulivyoiita ndio hata walinzi tu it may take time ku organize circles!!!
Ndio maana nchi za wenzetu wana kikosi maalum cha kujibu mashambulizi wakati wengine wanafanya evacuation!!!

Anyway, ni bora sana kuwa katika hiyo hali ya utayari kwa viongozi, kwa usalama wao lakini pia kwa urahisi wa walinzi kufanya yao, ku deal na mtu aliyepanick nayo si kazi ndogo!!!
 
Muda si mrefu mkuu wetu nae tutamuona katupia batiki yake.
 
Five star general ni rank ya Field Marshal.Na kwa kawaida inakuwa ni General aliyeshinda vita tatu

Sasa hapo Rais Kenyatta kuwa nazo ni danganya toto tu
 
Muda si mrefu mkuu wetu nae tutamuona katupia batiki yake.
Acha ulimbukeni sasa. Kikwete ni mwanajeshi. Hahitaji maigizo. Hizi siasa zenu za kitoto zinazowafanya mjione duni zitawapeleka kubaya!
 
Acha ulimbukeni sasa. Kikwete ni mwanajeshi. Hahitaji maigizo. Hizi siasa zenu za kitoto zinazowafanya mjione duni zitawapeleka kubaya!

Naona umekurupuka tu.

Kwani nani kasema Jk ni mgambo?

Ulimbukeni uko wapi hapo?

Wewe kila kitu umekariri ni siasa tu.

Weka basi hizo siasa zako za kikubwa nizione.

Acha nikupuuze tu.
 
Naona umekurupuka tu.

Kwani nani kasema Jk ni mgambo?

Ulimbukeni uko wapi hapo?

Wewe kila kitu umekariri ni siasa tu.

Weka basi hizo siasa zako za kikubwa nizione.

Acha nikupuuze tu.
Mbona unakasirika sasa?
 
Lakini ndio rais intelligent kuliko wanajeshi marais wa east africa
huyu sio intelligent, ni limbukeni tu anapelekwapelekwa na m7 na pk. rais intelligent africa mashariki kama asingekuwa muuaji, ni paul kagame, uhuru nafikiri atashika mkia. wakenya walifanya kosa kubwa sana kutomchagua raila odinga, huyu ndiye alikuwa rais bora kabisa east africa yote.wakachagua uhuru kiongozi wa mungiki.
 
Back
Top Bottom