Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu atawanyoosha hao madogo one dayMimi kama Mnyatiaji nawaangalia tu
Muongo sana huyo jamaaAti unasema 🤣🤣
Mkapa amejikosoa katika kitabu chake kwa lipi baya alilowahi kulifanya kipindi akiwa bado kiongozi?...Bora aandike kwa lugha yake pendwa ya Kisukuma. Sisi wengine hatutakinunua maana tunamjua hapendi kukosolewa, so hawezi kujikosoa kama Marehemu Mkapa alivyojikosoa kwenye kitabu chake
Kwani lazima ukisome? Wewe unaonekana mchagga CHADEMAKwa Kiswahili?
Kuna Mswahili ananunuaga kitabu?
Hasomi mtu upuuzi huo
Intellectuals hawatasoma sababu sio Kingereza na Waswahili hawatasoma sababu hua hawasomi chochote na hawana hela ya kununua kitabu
Kotekote hakuna anaesoma
Plus kuna akina sisi,tuna personal vendetta nae,SISOMIIIIIIIII kabisa
Mkuu, tatizo siku hizi JF imejaa vijana washamba sanaKwani lazima ukisome? Wewe unaonekana mchagga CHADEMA
Umeandika kwa mpangilio mbaya kama Sunday Manara. Jipange upya kijana.Kwa Kiswahili?
Kuna Mswahili ananunuaga kitabu?
Hasomi mtu upuuzi huo
Intellectuals hawatasoma sababu sio Kingereza na Waswahili hawatasoma sababu hua hawasomi chochote na hawana hela ya kununua kitabu
Kotekote hakuna anaesoma
Plus kuna akina sisi,tuna personal vendetta nae,SISOMIIIIIIIII kabisa
Ni nani amekudanganya kuwa intellectuals hawapendi Kiswahili? Mbona mzee Issa Shivji anakipenda na yeye ni professor?...Kwa Kiswahili?
Kuna Mswahili ananunuaga kitabu?
Hasomi mtu upuuzi huo
Intellectuals hawatasoma sababu sio Kingereza na Waswahili hawatasoma sababu hua hawasomi chochote na hawana hela ya kununua kitabu
Mkuu, ujue hata mimi nimeshangaa sana kauli ya huyo jamaa?Mkapa amejikosoa katika kitabu chake kwa lipi baya alilowahi kulifanya kipindi akiwa bado kiongozi?...
Mkuu, alafu hili neno "motherfvckers" sio zuri kwa watu kama nyie mnaojiita wasomi. Hilo si ni tusi boss?...Issa Shivji akiongea na layman kama wewe huko Twitter anatumia Kiswahili ili wapumbavu mjue anachosema
Akikutana na mimi au other high powered motherfvckers anatumia Kingereza wewe
Dont lie to you goddamn self!
Siku hizi JF imevamiwa sanaMkuu, ujue hata mimi nimeshangaa sana kauli ya huyo jamaa?
JPM anajali sana demokrasia tofauti kabisa na watu wanavyomchukuliaDr. Magufuli hana nia ya kuendelea kukaa madarakani milele. Muda wake ukiisha ataondoka.
Waongo wamevamia JF yetu siku hizi babaMuongo sana huyo jamaa
Usiwaombee mabaya kwa Mungu, bali waombee tu msamahaMungu atawanyoosha hao madogo one day
Sio kila muda ni wa kuombeana msamaha. Mbona shetani hajasamehewa mpaka leo?Usiwaombee mabaya kwa Mungu, bali waombee tu msamaha
Waambie wafute hata sasa hiviNingekua mod ningefuta huu uzi
Tena ni ule uongo wa kitaalam kabisa utafikiri mtu ni mjuzi kumbe wapi mbabaishaji tuWaongo wamevamia JF yetu siku hizi baba
Huyu baba JPM ni mzalendo sana sio kama Mbowe na LissuJPM anajali sana demokrasia tofauti kabisa na watu wanavyomchukulia