PRESIDENTIAL MEMOIR: Rais Magufuli, baada ya kustaafu, ukipenda kuandika kitabu kama mzee Mkapa, tumia lugha ya wazalendo ya Kiswahili

PRESIDENTIAL MEMOIR: Rais Magufuli, baada ya kustaafu, ukipenda kuandika kitabu kama mzee Mkapa, tumia lugha ya wazalendo ya Kiswahili

Bora aandike kwa lugha yake pendwa ya Kisukuma. Sisi wengine hatutakinunua maana tunamjua hapendi kukosolewa, so hawezi kujikosoa kama Marehemu Mkapa alivyojikosoa kwenye kitabu chake
Mkapa amejikosoa katika kitabu chake kwa lipi baya alilowahi kulifanya kipindi akiwa bado kiongozi?...
 
Kwa Kiswahili?

Kuna Mswahili ananunuaga kitabu?

Hasomi mtu upuuzi huo

Intellectuals hawatasoma sababu sio Kingereza na Waswahili hawatasoma sababu hua hawasomi chochote na hawana hela ya kununua kitabu

Kotekote hakuna anaesoma

Plus kuna akina sisi,tuna personal vendetta nae,SISOMIIIIIIIII kabisa
Kwani lazima ukisome? Wewe unaonekana mchagga CHADEMA
 
Kwa Kiswahili?

Kuna Mswahili ananunuaga kitabu?

Hasomi mtu upuuzi huo

Intellectuals hawatasoma sababu sio Kingereza na Waswahili hawatasoma sababu hua hawasomi chochote na hawana hela ya kununua kitabu

Kotekote hakuna anaesoma

Plus kuna akina sisi,tuna personal vendetta nae,SISOMIIIIIIIII kabisa
Umeandika kwa mpangilio mbaya kama Sunday Manara. Jipange upya kijana.
 
Kwa Kiswahili?

Kuna Mswahili ananunuaga kitabu?

Hasomi mtu upuuzi huo

Intellectuals hawatasoma sababu sio Kingereza na Waswahili hawatasoma sababu hua hawasomi chochote na hawana hela ya kununua kitabu
Ni nani amekudanganya kuwa intellectuals hawapendi Kiswahili? Mbona mzee Issa Shivji anakipenda na yeye ni professor?...
 
Issa Shivji akiongea na layman kama wewe huko Twitter anatumia Kiswahili ili wapumbavu mjue anachosema

Akikutana na mimi au other high powered motherfvckers anatumia Kingereza wewe

Dont lie to you goddamn self!
Mkuu, alafu hili neno "motherfvckers" sio zuri kwa watu kama nyie mnaojiita wasomi. Hilo si ni tusi boss?...
 
Back
Top Bottom