Press conference ya Yanga 18. 10. 2022

Press conference ya Yanga 18. 10. 2022

Vawulence

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
1,930
Reaction score
2,118
Yanga kesho wameitisha press conference ikiwa ni siku ya pili tu baada ya kuvurumishwa kwa mwaka wa 24 mfululizo katika hatua ya mtoano.

Tutarajie kusikia yafuatayo:

1. Makubaliano ya pande mbili yamefikiwa

2. Malalamiko ya kutosha kwa muamuzi wa jana kwani wanaamini Arajiga ndio angefaa kuchezesha mechi yao.

3. Malalamiko ya kufanyiwa fitina na kucheza kwenye mazingira magumu na tuliona wazi wakishukuru uongozi wa Al Hilal kwa ukarimu wa hali ya juu.

4. Kuna mchezaji mmoja machachari asiyejielewa atapumzishwa mpaka mwisho wa msimu akashughulikie matatizo ya kifamilia.

4. Timu itakuwa chini ya Cedric Kaze

5. Kuwashukuru wana yanga na kuwaahidi kufanya vizuri kwenye mashindano ya looser huko Shirikisho (kosa lingine la kuwapa matumaini hewa mashabiki)

Mengine ni kama kawaida. Malalamiko kwa TFF na kujifariji kuwa tulicheza mpira mzuri ila bahati haikuwa kwetu.

20221017_212848.jpg
 
Sisi Wana Yanga Kindaki ndaki tumechoshwa na Lawama Malalamiko ...! Hatutaki Lawama......!

Nini Kipya Cha Press..! nini Kipya?

Nashauri tupunguze Wazee waliokuja kwa Ajili ya Pensheni...

Bigirimana
Aucho
Kisinda
Yanick Bangala
Juma Shabani..... !

Yaani Hawa Soka La Ushindani Walisha limaliza siku nyingi Sasa Wanatafuta Pensheni Watamalizia Wapi. ..?
Carrier yao Watamaliza Vipi...! Wanamaliza Tz?

Sasa unawapambanisha na Watu Kama...
Last born Magic boy.... Peter Banda
Shakho Pape Osman...Miracle boy..
Moses Phiri .... Le General
Okrah Magic....!
Kanoute.....Putin
Tripple C .....Huyu ni Mwamba Wa Africa,sio Lusaka tu...!
Ochieng ...Kitasa
Outtara. ...!
Mzamiru,Mwenda,Moh'd Tshabalala...?
Enonga Baka.....!

Wote Hawa Wanaitaka Michuano Migumu.
Wana Malengo Hawajamalizaaa!
Bado Wanasaka Maisha...!

Tahadhari :

Lawama sio Tija,Majibu
mepesi pia Sio tija(Majibu Kama Mpira una Matokeo Ma3...)..!
Tunawasubiri...!
 
mepesi pia Sio tija(Kama Mpira una Matokeo Ma3...)..!
Tunawasubiri...!
Hivi kwanini Kanute anaitwa putin?
 
Bila kusahau fitina za TFF za kuifanya Yanga ishindwe kufika makundi CL

Na sasa wananchi wanaamua kwenda kwa mama

Karia na TFF inafanya kila kitu kuhakikisha Yanga tunakwama wakati hii timu imefanya makubwa kwenye hii nchi ikiwa ni pamoja ya kuleta uhuru.
 
Sisi Wana Yanga Kindaki ndaki tumechoshwa na Lawama Malalamiko ...! Hatutaki Lawama......!

Nini Kipya Cha Press..! nini Kipya...
Katika list yako Djuma Shaban mtoe

Huyo ni moja ya wachezaji wazuri wenye bahati mbaya ya kuchezea timu mbovu
 
Yanga kesho wameitisha press conference ikiwa ni siku ya pili tu baada ya kuvurumishwa kwa mwaka wa 24 mfululizo katika hatua ya mtoano.
Tutarajie kusikia yafuatayo:

1. Makubaliano ya pande mbili yamefikiwa

2. Malalamiko ya kutosha kwa muamuzi wa jana kwani wanaamini Arajiga ndio angefaa kuchezesha mechi yao.

3. Malalamiko ya kufanyiwa fitina na kucheza kwenye mazingira magumu na tuliona wazi wakishukuru uongozi wa Al Hilal kwa ukarimu wa hali ya juu.

4. Kuna mchezaji mmoja machachari asiyejielewa atapumzishwa mpaka mwisho wa msimu akashughulikie matatizo ya kifamilia.

4. Timu itakuwa chini ya Cedric Kaze

5. Kuwashukuru wana yanga na kuwaahidi kufanya vizuri kwenye mashindano ya looser huko Shirikisho (kosa lingine la kuwapa matumaini hewa mashabiki)

Mengine ni kama kawaida.... Malalamiko kwa TFF na kujifariji kuwa tulicheza mpira mzuri ila bahati haikuwa kwetu.
 
Back
Top Bottom