Yanga kesho wameitisha press conference ikiwa ni siku ya pili tu baada ya kuvurumishwa kwa mwaka wa 24 mfululizo katika hatua ya mtoano.
Tutarajie kusikia yafuatayo:
1. Makubaliano ya pande mbili yamefikiwa
2. Malalamiko ya kutosha kwa muamuzi wa jana kwani wanaamini Arajiga ndio angefaa kuchezesha mechi yao.
3. Malalamiko ya kufanyiwa fitina na kucheza kwenye mazingira magumu na tuliona wazi wakishukuru uongozi wa Al Hilal kwa ukarimu wa hali ya juu.
4. Kuna mchezaji mmoja machachari asiyejielewa atapumzishwa mpaka mwisho wa msimu akashughulikie matatizo ya kifamilia.
4. Timu itakuwa chini ya Cedric Kaze
5. Kuwashukuru wana yanga na kuwaahidi kufanya vizuri kwenye mashindano ya looser huko Shirikisho (kosa lingine la kuwapa matumaini hewa mashabiki)
Mengine ni kama kawaida. Malalamiko kwa TFF na kujifariji kuwa tulicheza mpira mzuri ila bahati haikuwa kwetu.
View attachment 2390476