Press conference ya Yanga 18. 10. 2022

Unajisiakiaje kwa sasa? Mkutano ndiyo uko mubashara Azam tv. Je, uliyotabiri yana/yamemetimia?
 
Putin huwa acheki anatabasamu kwa mbaali sana.Nato na US wanamjua.Kanoute a.k.a Putin mgumu,ajawai kucheka tangia Dunia iumbwe,anapokua uwanjani ukimpita akuachi salama ana faulo za kikatili,kiungo hodari n,k
Jamaa hacheki wala hashangilii kwa kwa kuruka ruka sijui kuwarukia wenzie wala hatoi meno hata wakifunga. Mhhh aiseee
 
Jamaa hacheki wala hashangilii kwa kwa kuruka ruka sijui kuwarukia wenzie wala hatoi meno hata wakifunga. Mhhh aiseee
Wapo wachezaji wengi sana duniani walikuwa hivyo. Saana unaweza ukaona tabasamu tu kwa mbaali. Mfano ni kama

Nicholas Anelka
Pirlo
Nk.
 
Wapo wachezaji wengi sana duniani walikuwa hivyo. Saana unaweza ukaona tabasamu tu kwa mbaali. Mfano ni kama

Nicholas Anelka
Pirlo
Nk.
Anelka alikuwa mtu mbad sana. Alikuwa hana mpango na mtu, yeye ni magoli tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…