Preview ya Black Panther Wakanda Forever 2022

Preview ya Black Panther Wakanda Forever 2022

Story ya black panther umeniludisha nyuma nimetamani kuiludia Tena black panther kabla sijaangalia hii mpya
 
Story ya black panther umeniludisha nyuma nimetamani kuiludia Tena black panther kabla sijaangalia hii mpya
Nimetazama tena leo mkuu haichoshi Nilikua nainjoi Conversation ya Everett K Ross
 
Natamani ningepata girl anayependa muvi kama mimi aisee we could be a cute couple.

Ps.
Director Ryan Coogler akiwa kavaa cheni yenye kidani cha picha ya Chad
FB_IMG_16669949756816268.jpg
 
Dead pool anacheza marvel harafu DC anacheza green mwenye pete vipi hapo
 
Dead pool anacheza marvel harafu DC anacheza green mwenye pete vipi hapo
Mkuu ni swala la Casting tu mtu anachagua aende wapi penye hela nzuri. Ryan Reynolds kacheza Green Lantern lakini pia kacheza Deadpool. Kuna character kacheza kwenye series ya Peacemaker atakauwepo pia kweye Guardian of the Galaxy kama adui.

Kuna jamaa anaitwa Yahya Abdul-Mateen kacheza kwenye muvi ya Aquaman kama adui Black Manta. Ila juzi tu hapa MCU wamemchuka kucheza kama superhero Wonderman
 
Aya bwana ache wale hela tu ni kupiga mpunga tu, hivi kupata nafasi nika act huko ni njia zipi nifike maana natamani
 
Aya bwana ache wale hela tu ni kupiga mpunga tu, hivi kupata nafasi nika act huko ni njia zipi nifike maana natamani
Mkuu mimi mwenyewe natamani sana nikawe hata mfagiaji Marvel Studio maana nina uelewa wa Masuala ya Marvel kama vile nafanya kazi hapo. Besides napenda sana kazi ya uandishi hasa Script writing and books authoring.

Kuna mdada anaitwa Sarah Harley-Finn ndio anahusika na kuCast waigizaji hapo marvel studios. Natamani nijiunge Tweeter nikamtafute nimuombe🙊
Hebu jaribu kumsaka huyo kwanza
 
Nina insomnia.. yaani leo nina safari ya saa tisa usiku niko najilazimisha kusinzia wapii. Sijui nifanyeje kupata usingizi mapema
Ngumu kulala na kila ukiiwaza, ndiyo unavyoufukuza usingizi... angalia tu movie huenda utasinzia 😉 pole my Prince...
 
Huu uzi umefanya jana nimerudia kuangalia hii movie upya dah. Bila King Tchalla sijui kama itanoga.
 
Back
Top Bottom