Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Story ya black panther umeniludisha nyuma nimetamani kuiludia Tena black panther kabla sijaangalia hii mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😥😥😥😥😎Natamani ningepata girl anayependa muvi kama mimi aisee we could be a cute couple.
Ps.
Director Ryan Coogler akiwa kavaa cheni yenye kidani cha picha ya ChadView attachment 2404429
Mkuu ni swala la Casting tu mtu anachagua aende wapi penye hela nzuri. Ryan Reynolds kacheza Green Lantern lakini pia kacheza Deadpool. Kuna character kacheza kwenye series ya Peacemaker atakauwepo pia kweye Guardian of the Galaxy kama adui.Dead pool anacheza marvel harafu DC anacheza green mwenye pete vipi hapo
My Prince anatafuta girlfriend... Anayependa movie kama yeye... 😔Mbona 😟😟
My princess
Aya bwana ache wale hela tu ni kupiga mpunga tu, hivi kupata nafasi nika act huko ni njia zipi nifike maana natamaniMkuu ni swala la Casting tu mtu anachagua aende wapi penye hela nzuri. Ryan Reynolds kacheza Green Lantern lakini pia kacheza Deadpool. Kuna character kacheza kwenye series ya Peacemaker atakauwepo pia kweye Guardian of the Galaxy kama adui.
Kuna jamaa anaitwa Yahya Abdul-Mateen kacheza kwenye muvi ya Aquaman kama adui Black Manta. Ila juzi tu hapa MCU wamemchuka kucheza kama superhero Wonderman
Wow my Prince... ❤ Thank you...Mimi nishakupata wewe mwana yanga mwenzangu... Hata usipopenda muvi won't be a thing!
Tutashabikia Yanga pamoja.
My princess 💜
View attachment 2404889
Mkuu mimi mwenyewe natamani sana nikawe hata mfagiaji Marvel Studio maana nina uelewa wa Masuala ya Marvel kama vile nafanya kazi hapo. Besides napenda sana kazi ya uandishi hasa Script writing and books authoring.Aya bwana ache wale hela tu ni kupiga mpunga tu, hivi kupata nafasi nika act huko ni njia zipi nifike maana natamani
Ser Criston Cole please lala 🤣🤣🤣🤣🤣Rhaenyra 💞
Ngumu kulala na kila ukiiwaza, ndiyo unavyoufukuza usingizi... angalia tu movie huenda utasinzia 😉 pole my Prince...Nina insomnia.. yaani leo nina safari ya saa tisa usiku niko najilazimisha kusinzia wapii. Sijui nifanyeje kupata usingizi mapema
Nitajua sijui leo 😆😆😆😆 inabidi nisilale mpaka usinzie?😔😔😔Nilikua naangalia ila nimeshindwa nimeacha. Labda unisinzilishe eti
Jamaa wanakula pesa tu wote hapo wapo hai kasoro chad tu😞 upumzike kwa amaniThe Original Cast from Black Panther 1💜
View attachment 2405211
Mkuu ni wafu au watu🤔🤔Wafu watalia sana ukumbini ngoja tuone