Preview ya Black Panther Wakanda Forever 2022

...................Rwanda ilipo wakazi wa nchi hii ya kufikirika wanaongea lugha ya Xhosa, Yoruba na English
Hapo sijakupata mkuu yoruba na xhosa ni lugha wanayoongea watu kutoka Rwanda????
 
Shukrani sana boss
Finally nimeitazama sasa kwakweli ni nzuri sana.. I wish I could experience it in Cinema.
Ryan Cole anajua sana aisee, Walionikonga nyoyo ni Talokan. Ni noma aisee, nimetamani kujifunza lugha ya Maya!
 
Hapo sijakupata mkuu yoruba na xhosa ni lugha wanayoongea watu kutoka Rwanda????
Nimesema hivi.
Nchi ya Rwanda ilipo ndio Wakanda ilipo na wakazi wa nchi ya wakanda wanaongea Xhosa na Yoruba!
 
Finally nimeitazama sasa kwakweli ni nzuri sana.. I wish I could experience it in Cinema.
Ryan Cole anajua sana aisee, Walionikonga nyoyo ni Talokan. Ni noma aisee, nimetamani kujifunza lugha ya Maya!

Sema movie haina mishike mishike tuliyotegemea bwana[emoji16](kwa tuliopania imekula kwetu) yan action zake woooiii yan zipo slow sana Namor hakua wakupigwa na shuri[emoji38] sema tumekubali kwamba ndo black panther na staring hauwawi ila ipo kawaida sanaa tho ina plot kali yan ila tumezungushwa mnoo[emoji119][emoji119]
 
Kabisa moja kati ya negative review ni juu ya kupooza kwa muvi. Muvi iliegemea zaidi kwenye Emotion kuliko actions hata hivyo Namora,Attuma na Namor wamejitahidi kuichangamsha muvi. Mimi Natumaini ni sababu ya kifo cha ghafla kilimfanya abadirishe script ya kwanza aliyoaandaa kwa muda wa miaka 2 kaibadirisha kwa miezi tu. Hata hivyo kajitahidi Ryan Coogler.

Ila kazingua sana Namor uwezo wake ni sawa na Hulk au Thor ila kazidiwa kirahisi na Shuri. Wamezingua, kwenye Comics namor ni badass hasa.

Sema Marvel wana akili sana aisee...walijua tu watu hatupo tayari kumuona Shuri anakua black Panther pia hawakutaka kumbadiri mwigizaji wa black Panther. So wametumia akilo ya kumrudisha Tchala kupitia mtoto wake. Ngoja tuone kama kutakua na time jump au wataacha yuleyule dogo acheze
 
wakiweza kukimbiza muda hapo sawa ila walikua na uwezo wa kubadili character akapewa mtu ( tumeona hiyo kitu kwenye GOT watu wawil wanacheza character moja) sema sio mbayaa plot yake ipo vizurii na nimependa pia MCU wametuletea aquaman wetu Namor[emoji28] tuone maajabu yake kwenye avengers zinazokuja hizo za kang sijui
 
Halafu hilo pozi ni ile chata maarufu ya "skull and bones" aisee
Wengi wamekuwa ni kama hawajui nini kinaendelea kwenye hiyo movie,ni sehemu pia ya ajenda potential kwenye ibada za upande huo wa pili
 
wakiweza kukimbiza muda hapo sawa ila walikua na uwezo wa kubadili character akapewa mtu ( tumeona hiyo kitu kwenye GOT watu wawil wanacheza character moja)
Kwenye GOT unazungumzia Daario Naharis bila shaka ndio walimbadiri Ed skrein akacheza Michel Huissman. Right??
Hawakutaka kumpa mtu mwingine ajili kwamba watu wangeona vibaya Kafa halafu wampe mtu mwingine. Lakini marvel wana double standard..John Hurt (Thaddeus Ross) alivyofariki mwaka jana March hata hawakucherewesha wakamchukua Harrison Ford ili acheze kama Thadeus Ross kwenye thunderbolt na Captain America New World Order
sema sio mbayaa plot yake ipo vizurii na nimependa pia MCU wametuletea aquaman wetu Namor[emoji28] tuone maajabu yake kwenye avengers zinazokuja hizo za kang sijui
Ungejua Namor ni character wa zamani zaidi kuliko hata Aquaman. Sema Aquaman wamemtendea kazi vyema. Ila Namor naona technology yao bado iko nyuma sababu sijui kwakua wamebadiri Kutoka Atlantis kwenda Mayans. Ila ngoja tuone huko mbele
 
Imepooza right???
It was based on emotions. Fortunately Namor saved a day

yeah kaokoa jahazi na zile pangaboi mguuni[emoji23][emoji23][emoji23] afu ukitaka kuona uzuri wa movie irudie rudie kama umeicheki leo kaa hata siku mbili angalia tenaa afuu kaa kidog angalia tena[emoji16] wanaoangalia cinema sijui wanawezaje jamani
 
Mimi nimemuinjoi Attuma na kile kilugha chake cha kimaya! Halafu unajua Attuma ni villain. Hapatani kabisa na Namor kwenye comics...Ni kama vile kaka yake na Arthur Curry (Aquaman) wasivyopatana.

Btw nilitamani concept ya kwanza ya Nomor ndio itumike. Ila hata hii depiction ya Maya sio mbaya.

PS. Hivi wewe sio DQ???

[Concept hii]
FB_IMG_16422443974421905.jpg
 
Nimeiona. Ilianza kwa kuchosha ila second half ilikuwa nzuri sana. Sema sijaona ukuu wa Wakanda kama taifa lenye nguvu zaidi duniani. Sema waache kutuchosha na sequel nyingine, story imeishaisha.
 
Wewe ndio unasema story imeshaisha ila ndio kwanza mambo yanaanza. Unajua kwenye Comics T'chala alichukua ufalme akiwa Teenager sasa na huyu dogo T'chala Jr ndio itakua vizuri zaidi Kutengeneza stori zake. Kuna mastori meeengi Marvel wanayo usitegemee kuisha sasa.

Ndio maana mwisho wa muvi wameandika Black Panther will Return
 
Halafu hilo pozi ni ile chata maarufu ya "skull and bones" aisee
Wengi wamekuwa ni kama hawajui nini kinaendelea kwenye hiyo movie,ni sehemu pia ya ajenda potential kwenye ibada za upande huo wa pili
Watu wazima tunaita Conspiracy theories...
Nyio ndio mnasema alama ya "Rock n Roll" 🤟ni ya freemason
 
Wewe ndio unasema story imeshaisha ila ndio kwanza mambo yanaanza. Unajua kwenye Comics T'chala alichukua ufalme akiwa Teenager sasa na huyu dogo T'chala Jr ndio itakua vizuri zaidi Kutengeneza stori zake. Kuna mastori meeengi Marvel wanayo usitegemee kuisha sasa.

Ndio maana mwisho wa muvi wameandika Black Panther will Return
Zimetosha bana. Tumeona wakigombania madaraka. Tumeona teknolojia yao, tumeona Black panther na nguvu zake. Wasituchoshe tena. Hata hii critics wameionea tu huruma sababu ya Chadwick na kutoka studio kubwa. ni movie ya 4/10
 
Back
Top Bottom