Prezzo amdhalilisha mtangazaji wa KTN katika Mahojiano ya Live

We jamaa huwa kiba ilikufanyia mbaya bila shaka maana kila cku kiba wapo wanaotumia wanajulikana acha chuki za kisichana bhanaa
 
Sijaona udhalilishaji, for me hapa story ni yeye kushindwa kusoma news,inawezekana huyu jamaa hajui kusoma
 
Nimeweka heading hiyo baada ya kucheki hiyo video.....dada kashikwa shikwa na jamaa alikuwa anamsifia kila saa
Mimi nikajua kamshika tako bwana, pale kamgusa tu..

Na huyo host mwanzo kaombwa kufanywa CM Sister.. Prezoo akakubali..

Kasifiwa kidogooo kuwa kapendeza, akajilegezaaaa..

Angepakatwa je!?
 
Nimejaribu kuangalia hiyo video sijaona udhalilishaji ,hivi kumshika mtu mkono na hawa wadada wanaocheza uchi kwenye video za wasanii upi ni udhalilishaji ??? Nlijua prezzo kamshika tak* ,sema huyu jamaa kwa nyodo eti Jaguar hamjui
Hata Mimi nikajua kamshika Tako au Kiuno au Kampakata..
 
Huyu jamaa nilikutan nae Last Year Kule Arusha kachoka sana!

Jaribu vyote ila siyo Ngada
 
Wala sio kweli,hii habari ni stunt tu ili atleast awepo kwenye buzz...hakuna udhalilishaji wowote hapo mbona?

Hii ni stori tu ku creat buzz,hakuna kingine
 
Hahahahahahah!! Koffi olomide Ana miaka mingapi na bado anatoa hit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…