Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nikajua kamshika tako bwana, pale kamgusa tu..Nimeweka heading hiyo baada ya kucheki hiyo video.....dada kashikwa shikwa na jamaa alikuwa anamsifia kila saa
Hata Mimi nikajua kamshika Tako au Kiuno au Kampakata..Nimejaribu kuangalia hiyo video sijaona udhalilishaji ,hivi kumshika mtu mkono na hawa wadada wanaocheza uchi kwenye video za wasanii upi ni udhalilishaji ??? Nlijua prezzo kamshika tak* ,sema huyu jamaa kwa nyodo eti Jaguar hamjui
Hahah kumpakata tena ??Hata Mimi nikajua kamshika Tako au Kiuno au Kampakata..
Ila huyo mtangazaji ana mtako huo mimi nisingevumilia kwa kweli lazima ningegusa huo mpaja maksudi
Hahahah sasa kumbe nini pale mnamwonea tu prezzo alikua anajaribu bahatiIla huyo mtangazaji ana mtako huo mimi nisingevumilia kwa kweli lazima ningegusa huo mpaja maksudi
Kila kazi na masahibu yake! Ila mama alikuwa anajua kujihamiUncleBen assume huo bettykyalo ndo mkeo alafu ndo anafanyiwa vile kazini kwake....alafu ile ilikuwa taarifa ya habari sio kipindi cha mkasi
Bila kumtaja kiba huna raha eeh?Kiba umesikia?
Acha uongo.. Mbona wengi wanatumia Ngada na hawajachoka?Huyu jamaa nilikutan nae Last Year Kule Arusha kachoka sana!
Jaribu vyote ila siyo Ngada
Prezzo ilibidi awe mvumilivu kidogooo, angempakua mbonaHahahah sasa kumbe nini pale mnamwonea tu prezzo alikua anajaribu bahati
Haha yote yanawezekana kuna mdau mmoja alisema ukitolewa nje na demu wa kawaida ni sawa ila ukitolewa nje na mke wa mtu una laanaPrezzo ilibidi awe mvumilivu kidogooo, angempakua mbona
Hahahahahahah!! Koffi olomide Ana miaka mingapi na bado anatoa hitKama ndivyo, basi aache ubwege. Ni filamu tu ndio unayoweza kudumu nayo tangia utotoni hadi uzeeni. Wanamuziki wengi wakishafika 30's huanza kupotea taratibu. Huo unakuwa umri wa kufanya muziki kwa hobby na sio wa kushindana na walio sokoni... ukiambiwa uruke ruke, huwezi manake rojorojo miguuni zishakauka! Aanze tu kupiga twist, lazima atapata contract mahotelini Mombasa!