But the guy will never shoot up like beforeWewe ni miongoni mwa wachache tulioliona hili.
Na Prezoo amefanikiwa lengo lake la kutaka watu wamzungumze na kupata attention...Entertainment ina sura nyingi. ..Kuna mwimbaji wa kizungu alivaaga gauni lililotengenezwa kwa nyama hii nayo ni staili ya kutafuta kuzUngumzwa .
Wewe ni miongoni mwa wachache tulioliona hili.
Na Prezoo amefanikiwa lengo lake la kutaka watu wamzungumze na kupata attention...Entertainment ina sura nyingi. ..Kuna mwimbaji wa kizungu alivaaga gauni lililotengenezwa kwa nyama hii nayo ni staili ya kutafuta kuzUngumzwa .
Hapo sawa.. Tetea babe..Mleta thread ndo mume wa Bettyokari.huyo dada anayemhoji prezzo hapo
Sasa kushika kiuno ni udhalilishaji? Mi nikajua kampima OilHata Mimi nikajua kamshika Tako au Kiuno au Kampakata..
Kwani kumpima oil ni udhalilishaji? Mm nilifikiri prezzo anakula mzingo liveSasa kushika kiuno ni udhalilishaji? Mi nikajua kampima Oil
Hehehe.. Usijitoe ufahamu.Sasa kushika kiuno ni udhalilishaji? Mi nikajua kampima Oil