myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Haya ni maoni yako,....Matokeo ya uasi wa Prigozhin:
Magharibi (NATO na nchi washirika) wameona namna Wananci wa Russia wanavyomuunga mkono Putin.
-Kwa sasa, ni mapema mno kuzungumza juu ya mwisho wa uasi wa kijeshi au hatua ya kiintelligensia ya Urusi, lakini matokeo ya kwanza yanaweza kufupishwa:
(1) Nchi nzima ilijitokeza kumuunga mkono Vladimir Putin
(2) Umoja kama huu wa wananchi haujakuwepo tangu 2014.
(3) Kwa njia isiyo ya moja kwa moja, wapinzani wa Russia nao walijipanga kumuunga mkono Putin, ambao kwa kweli wameshtushwa na kinachoendelea
(4) Vita vya wenyewe kwa wenyewe vinavyotarajiwa huko Magharibi havijaanza nchini Urusi: Warusi kwa ukaidi hawataki kurushiana risasi
(5) Urusi imeonyesha kuwa, pamoja na vikosi vinavyoshiriki katika SMO, pia ina uwezo mkubwa kwa njia ya PMC "Wagner
-(6) Jeshi linamwamini Putin
Wengine wanaona kinyume!..