Prigozhin na Wagner yake asitisha uasi

Prigozhin na Wagner yake asitisha uasi

Matokeo ya uasi wa Prigozhin:
Magharibi (NATO na nchi washirika) wameona namna Wananci wa Russia wanavyomuunga mkono Putin.

-Kwa sasa, ni mapema mno kuzungumza juu ya mwisho wa uasi wa kijeshi au hatua ya kiintelligensia ya Urusi, lakini matokeo ya kwanza yanaweza kufupishwa:
(1) Nchi nzima ilijitokeza kumuunga mkono Vladimir Putin
(2) Umoja kama huu wa wananchi haujakuwepo tangu 2014.
(3) Kwa njia isiyo ya moja kwa moja, wapinzani wa Russia nao walijipanga kumuunga mkono Putin, ambao kwa kweli wameshtushwa na kinachoendelea
(4) Vita vya wenyewe kwa wenyewe vinavyotarajiwa huko Magharibi havijaanza nchini Urusi: Warusi kwa ukaidi hawataki kurushiana risasi
(5) Urusi imeonyesha kuwa, pamoja na vikosi vinavyoshiriki katika SMO, pia ina uwezo mkubwa kwa njia ya PMC "Wagner
-(6) Jeshi linamwamini Putin
 
Hahah prigo ni mnyabumbu, naona Pro Nato visimi viliwasimama[emoji1787] wakidhani ataasi urusi na kumuondoa Putin! Huyu Prigo ni muhuni analeta Comedy vitani msimchukulie serious[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndo na kulipua ndege ? Nchi ipo vitan inakata watu mishahara hadi kuongeza kodi ya kuchangia wapiganaj huko Ukraine hlf mje igiza kulipua ndege na kuua watu 7
 
Tumieni akili wagner hawana uwezo wowote wa kuoigana na jeshi la urussi hata kwa asilimia 2% tumieni akili ....ndiyo maana nikauliza wagner wameua askari wa urusi wangapi tena kwenye mapigano gani .... kitu ambacho serikali ya urusi kimemfanya kuwa mvumilivu kwa hicho kikosi ni kikosi cha warusi pia na watoto wa urusi ndiyo wanakitumikia tena chini ya mwongozo wa serilali kuu ....kwa serikali ya urussi ilichora mstari mwekundu kama watavuka basi ilikuwa ni amri moja tu ya kuwa vunja nguvu kijeshi ni kazi ya siku 3 tu kikosi kinasambaratika na kusalitiana kwa kujiunga na jeshi
Wachenyia sio warusi mbona aliwaua ? Hakuwavumilia wafike Hadi kuteka jimbo lao lote
 
Muwe mnatumia akili , jeshi uongozwa kwa order kutoka kwa mkuu wao , sasa unawajuaje wasaliti kama wao wanafuata order tu ya Prigo , hv hz akili mmeacha wap ? Ndio maana mnasaini mikataba isiyo na muda , akili bure kbs
Unapokuwa arrogant (mtu unayetaka kuonekana unajua kuliko wenzako) mara nyingi haiwezekani kujadili hoja, badala yake utashambulia mtu.

Matukio kama haya haya hayalengi kugundua wasaliti ndani ya jeshi maana MARA NYINGI hawana madhara kwakua wao ni vyombo tu, wasaliti mahususi ni wale viongozi wa KISIASA ambao kwa namna yoyote ile watakuwa walionyesha kuunga mkono hilo jaribio, maana hao ndio ambao Putin hatakiwi kuwa nao karibu tena.

Kwakuwa wewe KIMBULU WA MITAANI usiye eelewa chochote ilikuwa ni lazima ubishe, wewe subiri uone kama fagio la chuma halitapita serikalini.
 
Raia washaambiwa wakae ndan , unatokaj kwenda kusimama nao , hakuna muasi atakuruhusu uje krb yake kama hajammaliza adui kwenye eneo husika ( nchi ya russia nzima ) , maana hujui kama ni raia au ni mwanajeshi kaja kiraia ajilipue na nyinyi , Tumia akili vzr mkuu kuelewa yaiyotokea jana

Huna unachoelewa , raia walikuwa wanapiga picha hadi na Vifaru wewe unasema walizuiliwa wakea ndani?

PROPAGANDA ZA KIMAGHARIBI PAMOJA. NA HOLLYWOOD MOVIES, ZIMEKUHARIBU.

Ni wazi kwamba jaribio la WAGNER halikuungwa mkono na raia wa RUSSIA kwa kiasi ambacho wazee wa UPINDE mlitarajia, tatizo nyinyi mnadhani PUTIN anachukiwa na raia wake kama jinsia ambavyo media za magaharibi zimewaaminisha.

Raia wa Russia wanaelewa ni kwanini nchi yao ipo vitani, na ni madhara gani ambayo yatawarudia kama wataisaliti nchi yao.
 
Uasi mutiny hata wa dakika moja ni AIBU KWA TAIFA KUBWA kama Urusi yaani imekuwa sawa na SUDAN au Congo, shame to dictator muuaji Putin.
 
Wagna wangesema waendelee na msafara wao kuelekea moscow jua la kesho asubui wasingeliona walahi maana waliwekewa trap moja mbaya sana yaan wangekufa kwa tabu sana.
Mrusi ambaye yuko Buza unaelewa mitego iliyotegwa Moscow.

Kwakweli Waarabu wachukuwe tu bandari, Tanzania imejaa misukule tu ya kushabikia ya watu ambayo hayawahusu wakati nchi yao inauzwa na wenyewe wanauzwa jumla.
 
Mkuu una bachelor ya usalama nn[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Povu zito
Serikali ya urusi insogopa jeshi lake siyo kikundi ya waasi ...kwani hao wagner wakijiunga na ukrain unadhani urussi ingewaogopa ....sema watu awaogopi cheche wanaogopa cheche kwenye petrol ... hapo petrol ni jeshi la urusi lingetumia cheche za wagner kuasi ingekuwa shida ...na mkuu wa kikosi cha wagner anajua vizuri kuwa ksma ingetokea hivyo siyo yeye ambaye angekuwa rais bali makamanda wa jeshi la urusi ...hapo na yeye angekuwa hatarini bado
 
ILA MIMI SIELEWI KITU PAMOJA NA WATU I MEAN PRO RUSSIA KUICHUKIA MAREKANI ILA ASILIMIA 97% YA WATU HAO ESPECIALY VIJANA WA KITANZANIA WANATAKA WAKAISHI MAREKANI AU ULAYA HUKO ILIPO NATO KWANI URUSI HAKUNA MAISHA MBONA ULAYA NA MAREKANI TU????
Tumia qkili wachakutumia kijabio kufikiri ...kwani hata hapa tz unaposikia waarabu wanakuja kuwekeza wewe unadhani wanatupenda waafrica ? Pia ulipo sikia waarabu na wakoloni wengine walipigana kugombea afrika wewe unadhani walipigana kwa sababu wana tupenda ...stuuupid
 
Unapokuwa arrogant (mtu unayetaka kuonekana unajua kuliko wenzako) mara nyingi haiwezekani kujadili hoja, badala yake utashambulia mtu.

Matukio kama haya haya hayalengi kugundua wasaliti ndani ya jeshi maana MARA NYINGI hawana madhara kwakua wao ni vyombo tu, wasaliti mahususi ni wale viongozi wa KISIASA ambao kwa namna yoyote ile watakuwa walionyesha kuunga mkono hilo jaribio, maana hao ndio ambao Putin hatakiwi kuwa nao karibu tena.

Kwakuwa wewe KIMBULU WA MITAANI usiye eelewa chochote ilikuwa ni lazima ubishe, wewe subiri uone kama fagio la chuma halitapita serikalini.
Sumu huwa haijaribiwi kwa kuionja.

Hata Erdogan aliyefanya mapinduzi fake ya kujipinduwa mwenyewe hakuacha hizo loopholes za kupinduliwa kweli.
 
Muwe mnatumia akili , jeshi uongozwa kwa order kutoka kwa mkuu wao , sasa unawajuaje wasaliti kama wao wanafuata order tu ya Prigo , hv hz akili mmeacha wap ? Ndio maana mnasaini mikataba isiyo na muda , akili bure kbs
Unaweza kuwajua maana wao wanakuwa kama machawa yani vimbelembele ....pia wasaliti kwenye tukio ilo wanaweza kutafutwa ndani ya jeshi la mrusi mwenyewe ...maana uwa wanasubiri visa kama hivyo wakunjue makucha
 
Wachenyia sio warusi mbona aliwaua ? Hakuwavumilia wafike Hadi kuteka jimbo lao lote
Wakati huu siyo wa kupoteza nguvukazi wala silaha ovyo urussi inapambana na nato tofauti na wakati wa chechinia ...tumia akili hata hao wagner wangevuka mstari mwekundu wangechapwa tu ....hata marekani ikivuka mstari mwekundu wa mwisho lazima wachapwe tu
 
Umeshasema "wange"!!
Yaani washindwe kujua mipango yake ya mutiny na kum neutralize mapema waje kumuwekea trap akiwa anaingia Moscow?!
Inawezekana tunawapa Russia ukubwa wasiokua nao, mind you mimi ni pro-Russia pia!

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Jamaa asichojua ni kwamba, askar wa Wagner ni wazuri zaidi kuliko wa serikali. Kushindana nao sio kitu chepesi chepesi.
 
Tumia qkili wachakutumia kijabio kufikiri ...kwani hata hapa tz unaposikia waarabu wanakuja kuwekeza wewe unadhani wanatupenda waafrica ? Pia ulipo sikia waarabu na wakoloni wengine walipigana kugombea afrika wewe unadhani walipigana kwa sababu wana tupenda ...stuuupid
Mkuu umelielewa swali langu lakini?????🤣🤣🤣
 
Wakati huu siyo wa kupoteza nguvukazi wala silaha ovyo urussi inapambana na nato tofauti na wakati wa chechinia ...tumia akili hata hao wagner wangevuka mstari mwekundu wangechapwa tu ....hata marekani ikivuka mstari mwekundu wa mwisho lazima wachapwe tu
Vp urusi ikivuka mstari mwekundu kwa marekani haiwezi kuchapwa????? Maana nasikia serikali ya marekani inategemea kuuziwa silaha na ndege za kivita na serikali ya urusi toka mwaka 1992..
 
Back
Top Bottom