Prigozhin na Wagner yake asitisha uasi

Prigozhin na Wagner yake asitisha uasi

Kwa wale wanaojua mchezo wa drafti watakuwa wameshajua nini kinaendelea!
Kulalamika Kwa uongo, kutoa kafara Baadhi ya kete huku mlaji akilazimishwa Kula na kuchekelea!
Mwisho unaliwa mbele na nyuma na kingi inakaa katikati!
Hiyo michezo ina faida gan ? Ina maana intelligence ya Urusi ni dhaifu kiasi cha kuigiza civil wars ? Ebu tumien akil bas
 
Njia nzima waliachwa wapite bila kubughuziwa na mamlaka za kijeshi za Russia, nilitegemea kuona raia wengi wa Russia wakisimama pamoja na waasi ila haikuwa hivyo.

Hiyo inakupa picha gani?
Raia washaambiwa wakae ndan , unatokaj kwenda kusimama nao , hakuna muasi atakuruhusu uje krb yake kama hajammaliza adui kwenye eneo husika ( nchi ya russia nzima ) , maana hujui kama ni raia au ni mwanajeshi kaja kiraia ajilipue na nyinyi , Tumia akili vzr mkuu kuelewa yaiyotokea jana
 
Dogo gani? Unajifanyaga kila jambo unalijua vyema, acha ujuaji
Hata akikutajia jina utamjuwa ? Ww ili umcrush huyu jamaa na ww lete uhalisia wako uliopo huko Moscow , maana huyo dogo hutomjua hata akikutajia
 
Na kwann Putin hakumtaja Prigozhin kwenye hotuba yake yote?? Badala yake akawa anasema tu "Muhaini hasamehewi?".


Ni kweli Prigozhin alitaka kabisa kumsaliti rafiki yake wa muda mrefu???.




Ni nani Muhaini? Kwann Putin hakumtaja Moja Kwa Moja ?.
Unapoongea tunza akiba ya kesho , Putin ni shetan muuaji ila ni mtu smart mno kwenye kuongea , anajua kuna muda wa kucheza hutoeza cheka vzr , Ndio maana Putin kawachota wajinga wengi kwny hii vita yake chafu
 
Hapa ndio kina cemical Ally wanapotakiwa. Kama kweli walipanga uasi, hawastahili msamaha kabisa. Wasubiriwe wafike kambine kisha wamwagiwe bomu la sumu tumalize hii biashara na wagner ife mazima.

Putin unaniangusha.
Hahahaaa mahaba ya kijinga hayo
 
All in all,mwisho wa Prigozhin umefika,amevuka mipaka, suluhu pekee kwake ni kukimbia USA apewe hifadhi ya kisiasa na ukibaraka!!
Haaminiki yatakuwa ya Bin Laden
 
Hii ilikua asubuhi na kwenye rada zilionekana ndege za ofisi ya raisi moja ikielekea St Petersburg na nyingine kuelekea nchi jirani,baadae Putin alihutubia Taifa aliwa ndani ya Moscow so habari ya kua kaondoka ikaonekana sio kweli.
Alikuwa anapima upepo
 
Wewe Jamaa leo uiitawala sana JF. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sas naona kinyonge unatafuta usingizi

LEO NIMEFAHAMU PRO USHAGA WAPO WENGI SANA. YAANI NDANI YA LISAA LIMOJA UNAKUTA UZI UNA WACHANGIAJI 800.kweli Putin babalao kwa kukata ngebe tu, namsifu
Kaomba poo lkn ? Halaf mm sikutawala , Prigo ndo alitawala
 
Pana dogo mmoja anaishi Hungary leo kwenye kundi letu la wasafiri alidai toka jana watu kutoka Moscow ilikua shida alizungumzia jana kabla hata hao Wagner hawajatangaza na akasema VPN ndio inayotumika huko siwezi kumtangaza humu ndio maana nimeandika dogo....
Hio ya VON mbona sujaisikia BBC? au wanaogopa kuingelea swala la internet kuzimwa?
 
Wagner wapo salama wakiwa chini ya uongozi wa urusi vinginevyo wamekwisha. Tayari marekani amekiita kikundi Cha ugaidi pia tayari Wagner wameshaingilia maslahi ya ufaransa lakini serikali za Us na ufaransa zinasita kuwachukulia hatua au kuwashambulia kwa sababu ya kumwogopa mrusi kitendo Cha uasi kingefanywa apigwe pande zote na huo ungekuwa mwisho wao
Wazungu hujali maslai kuliko historia , ndio maana UK , France , Italy na Germany wote wapo NATO , wale warusi hawana akili za kizungu kbs rangi tu
 
Back
Top Bottom