Prigozhin na Wagner yake asitisha uasi

Prigozhin na Wagner yake asitisha uasi

Tumia qkili wachakutumia kijabio kufikiri ...kwani hata hapa tz unaposikia waarabu wanakuja kuwekeza wewe unadhani wanatupenda waafrica ? Pia ulipo sikia waarabu na wakoloni wengine walipigana kugombea afrika wewe unadhani walipigana kwa sababu wana tupenda ...stuuupid
Sawali langu ni kwanini pro Russia wengi mnapenda kwenda kutafuta maisha marekani na sio Russia kwa putin????
 
Serikali ya urusi insogopa jeshi lake siyo kikundi ya waasi ...kwani hao wagner wakijiunga na ukrain unadhani urussi ingewaogopa ....sema watu awaogopi cheche wanaogopa cheche kwenye petrol ... hapo petrol ni jeshi la urusi lingetumia cheche za wagner kuasi ingekuwa shida ...na mkuu wa kikosi cha wagner anajua vizuri kuwa ksma ingetokea hivyo siyo yeye ambaye angekuwa rais bali makamanda wa jeshi la urusi ...hapo na yeye angekuwa hatarini bado
Kwani mkuu muasisi wa Wagner group Ltd unamjua?????
 
Akili zako za chekechea ...ukisikia kuchapa hapa namaanisha kuchapana
Mkuu nasikia marekani wanategemea kuuziwa silaha na urusi,,,je ni kweli mkuu??? Nasikia hata bunduki waga wananunua kutoka urusi na mabomu ya nyukilia???
 
Uasi mutiny hata wa dakika moja ni AIBU KWA TAIFA KUBWA kama Urusi yaani imekuwa sawa na SUDAN au Congo, shame to dictator muuaji Putin.
Unaonesha umekataa kutumia akili.uasi gani wananchi walikuwa wanapiga selfie na wanajeshi na magari ya vita.wewe kwa akili yako ulidhani hao jamaa wanauwezo wa kumpindua hata mkuu wa mkoa?
 
Mkuu nasikia marekani wanategemea kuuziwa silaha na urusi,,,je ni kweli mkuu??? Nasikia hata bunduki waga wananunua kutoka urusi na mabomu ya nyukilia???
Sijui ila hata urussi inatamani kununua silaha za marekani . Sababu ni kuzifanyia utafiti na kupata ufumbuzi wa kuziangamiza au kuunda wao bora kuliko hizo .. .ndiyo maana hata iran inamuomba urussi sampuli za silaha za marekani wanazo teka ukrain ...mara nyingi marekani imekuwa ikinunua silaha za mrusi kwa kupitia mgongo wa nyuma ili kuzifanyia uchunguzi
 
Huo ulikuwa ni mchezo wa Russia, baada ya hapa wasaliti halisi waliojipendekeza nadhani wataliwa vichwa.
Vita akili, wakati fulani ni ngumu kumfahamu adui wa kweli na rafiki wakweli,hivyo wakati kama huo yafaa itafute njia bora ya kuwatambua maadui na marafiki wa kweli😂.Katika hili huenda Mrusi kafauli, mabeberu vichwa box wamekataa viti virefu wakishangilia movie na popcorn juu🍿
 
Ikiwa ni hivyo basi serikali ya Urusi inaongozwa kama kundi la mafia.
Prigozin aliwahi kukaa jela miaka kibao, Surovikin aliwahi kukaa vitani, Kadyrov nae ana utata wake. Russia ni nchi ya kimafia so bila kuwa na kiongozi mafia kama Putin nchi haiendi
 
The Russian civil war appears to be over. Here's where things stand right now:

1. Cohesion in Russia's national leadership has been irreparably fractured.

2. Russian military confidence and morale are broken.

3. Putin and Prigozhin have both backed down, Putin went from "Crush the traitors" to offering Prigozhin security guarantees. He is now widely seen as weak and vulnerable.

4. Russian forces have lost the Wagner group in the field. Wagner PMC is being withdrawn from active duty. They can no longer be relied upon to fight alongside regular Russian troops.

5. Tens of thousands of Russian troops will need to be redeployed to the Russian heartland to protect against further coup attempts.

6. The situation for Ukraine has improved significantly. Thousands of Russian troops will be taken out of play for zero cost to the Ukrainians. Ukraine is now dealing with a weakened Putin instead of the original Putin or the psychotic Progozhin.

7. Seven Russian aircraft were shot down and 12 russian airmen have lost their lives.
Aisee
 
Alasalaleee!! Mkosi Gani huuu! Nilijua Putin must go!
 
Unapoongea tunza akiba ya kesho , Putin ni shetan muuaji ila ni mtu smart mno kwenye kuongea , anajua kuna muda wa kucheza hutoeza cheka vzr , Ndio maana Putin kawachota wajinga wengi kwny hii vita yake chafu
Sawasawa 👍
 
Back
Top Bottom