Prime Pogba vs prime KDB who is the best?

Takwimu zipi zipo wapi?, Em nambie kitu ambacho KDB anafanya uwanjani ambacho Pogba Hawezi?
Ana create chances nyingi, assists na magoli mengi.


Kizazi hiki anayemzidi KDB kutengeza chances na assists ni Messi pekee hapa duniani.

Kwenye top 10 ya muda wote duniani kwenye assists KDB yupo.

Sasa huyo Labile hata assists 100 hana, unamlinganishaje na mtu mwenye assists 300+?
 
Hivi wewe Pogba umemuangalia kweli??, kwa hivyo vitu umesema hapo unadhani Pogba alikuwa Hawezi kufanya, Pogba alikuwa hatengenezi nafasi?, Pogba alikuwa hapigi assist?, Pogba alikuwa hafungi? Anafunga kwa guu la kushoto na guu la kulia na kichwa pia anaweka, ndani ya box au nje ya box kwa mashuti ya mbali au zile rebound zake ushwahi kuziona kwanza??...Pogba ana offer Hadi kukaba uwanjani timu ikiwa Haina Mpira na apo kwenye good passing na vision ndo usiseme neno na zile long range pass zake huko kwenye aerial battles Pogba unamuona na ana win vizuri Full of energy jamaa.
 
Katika mistake ambayo alifanya Pogba kwenye career yake ni kurudi Manchester United mwaka ule 2016 kama angekubali offer ya Real Madrid kipindi kile msingeleta hii mada yenu ya kishamba hapa
 
Katika mistake ambayo alifanya Pogba kwenye career yake ni kurudi Manchester United mwaka ule 2016 kama angekubali offer ya Real Madrid kipindi kile msingeleta hii mada yenu ya kishamba hapaView attachment 3122175
Dunia imemjua KDB akiwa Wolfsburg star hakuna ila aliongoza assist Dunia mzima mtu Toka matopeni kule uje umringanishe na mtu aliekulia man u academy na akafanya usenge
 
Utakuwa unachekesha lini Yaya kacheza center back?
MPIRA UMEANZA KUUSHABIKIA JANA? YAYA TOURE KAZIMA KAMA CENTRAL BACK BARCELONA TENA KWENYE MECHI YA FAINALI BARCELONA VS MAN UTD, NA UTD WAKAPOTEA VIZURI TU.KIPINDI HICHO
 
Utakuwa unachekesha lini Yaya kacheza center back?
MPIRA UMEANZA KUUSHABIKIA JANA? YAYA TOURE KAZIMA KAMA CENTRAL BACK BARCELONA TENA KWENYE MECHI YA FAINALI BARCELONA VS MAN UTD, NA UTD WAKAPOTEA VIZURI TU.KIPINDI HICHO PIQUE YUPO UTD.
 
Hapo ni kwenye makaratasi ila uwanjani pique na puyol ndo waliziba mabeki wa kati
Yaya na busquet walikuwa viungo wakabaji
sio kweli, yaya alizima kama cb na gadiola alishawahi kulitolea ufafanuzi why alimchezesha yaya kama cb.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…