Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Takwimu zipi zipo wapi?, Em nambie kitu ambacho KDB anafanya uwanjani ambacho Pogba Hawezi?Takwimu zinaongea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Takwimu zipi zipo wapi?, Em nambie kitu ambacho KDB anafanya uwanjani ambacho Pogba Hawezi?Takwimu zinaongea
hivi UEFA utafananisha na World Cup?😂Uyo UEFA anayo?
em ngoja maana inweza nikawa nabishana na kiazi hapa, em nambie kitu ambacho KDB anafanya uwanjani ambacho Pogba Hawezi?Khe! Ni mzima kweli wewe macalister ana WC unaweza mlinganisha ata na alcantara?
Hii game leo Ss225 wameirudia KDB alipotezwa sana hii game.hii mechi unaijua kwanza?View attachment 3122143
Ana create chances nyingi, assists na magoli mengi.Takwimu zipi zipo wapi?, Em nambie kitu ambacho KDB anafanya uwanjani ambacho Pogba Hawezi?
Ila Yaya Toure alikua anacheza kama center back pia namba 10. Versatile player.
I will choose him over KDB .
Hivi wewe Pogba umemuangalia kweli??, kwa hivyo vitu umesema hapo unadhani Pogba alikuwa Hawezi kufanya, Pogba alikuwa hatengenezi nafasi?, Pogba alikuwa hapigi assist?, Pogba alikuwa hafungi? Anafunga kwa guu la kushoto na guu la kulia na kichwa pia anaweka, ndani ya box au nje ya box kwa mashuti ya mbali au zile rebound zake ushwahi kuziona kwanza??...Pogba ana offer Hadi kukaba uwanjani timu ikiwa Haina Mpira na apo kwenye good passing na vision ndo usiseme neno na zile long range pass zake huko kwenye aerial battles Pogba unamuona na ana win vizuri Full of energy jamaa.Ana create chances nyingi, assists na magoli mengi.
Kizazi hiki anayemzidi KDB kutengeza chances na assists ni Messi pekee hapa duniani.
Kwenye top 10 ya muda wote duniani kwenye assists KDB yupo.
Sasa huyo Labile hata assists 100 hana, unamlinganishaje na mtu mwenye assists 300+?
Wew Yaya Toure ni next level wewYaya hafiki pia KDB ni KDB TU
Dunia imemjua KDB akiwa Wolfsburg star hakuna ila aliongoza assist Dunia mzima mtu Toka matopeni kule uje umringanishe na mtu aliekulia man u academy na akafanya usengeKatika mistake ambayo alifanya Pogba kwenye career yake ni kurudi Manchester United mwaka ule 2016 kama angekubali offer ya Real Madrid kipindi kile msingeleta hii mada yenu ya kishamba hapaView attachment 3122175
Sasa yanga ndio pakucheza walevi wa madawa wanaovunja sheria za mpira?Nani anamuweka bechi akiboost madawa yake?
Alikosea sanaKatika mistake ambayo alifanya Pogba kwenye career yake ni kurudi Manchester United mwaka ule 2016 kama angekubali offer ya Real Madrid kipindi kile msingeleta hii mada yenu ya kishamba hapaView attachment 3122175
MPIRA UMEANZA KUUSHABIKIA JANA? YAYA TOURE KAZIMA KAMA CENTRAL BACK BARCELONA TENA KWENYE MECHI YA FAINALI BARCELONA VS MAN UTD, NA UTD WAKAPOTEA VIZURI TU.KIPINDI HICHOUtakuwa unachekesha lini Yaya kacheza center back?
MPIRA UMEANZA KUUSHABIKIA JANA? YAYA TOURE KAZIMA KAMA CENTRAL BACK BARCELONA TENA KWENYE MECHI YA FAINALI BARCELONA VS MAN UTD, NA UTD WAKAPOTEA VIZURI TU.KIPINDI HICHO PIQUE YUPO UTD.Utakuwa unachekesha lini Yaya kacheza center back?
sio kweli, yaya alizima kama cb na gadiola alishawahi kulitolea ufafanuzi why alimchezesha yaya kama cb.Hapo ni kwenye makaratasi ila uwanjani pique na puyol ndo waliziba mabeki wa kati
Yaya na busquet walikuwa viungo wakabaji