FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
- Thread starter
- #21
Sasa busquets kweli unazani angemuweka nje?Ana hoja lakini hii fainali naikumbuka 2009 alicheza center back
View attachment 3122054
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa busquets kweli unazani angemuweka nje?Ana hoja lakini hii fainali naikumbuka 2009 alicheza center back
View attachment 3122054
2011-2012 na 2016-2022 Man Utd, 2012-2016 Juventus na France National Team.Akiwa anacheza timu gani na mwaka gani?
Hajawahi kuwa na maajabu wala takwimu za kumlinganisha na KDB.2011-2012 na 2016-2022 Man Utd, 2012-2016 Juventus na France National Team.
2009 UEFA champions League final (Barcelona Vs Manchester United. )Utakuwa unachekesha lini Yaya kacheza center back?
SAHIHI2009 UEFA champions League final (Barcelona Vs Manchester United. )
He played two games before that game.Mechi moja tu mbona kama ni ivyo walker ameshaga daka je ni keeper?
Tazama profile ya Yaya Toure. Center back namba 10 ndio position zake professionally.Mechi moja tu mbona kama ni ivyo walker ameshaga daka je ni keeper?
Kwani huyo KDB ana maajabu Gani kumzidi labileHajawahi kuwa na maajabu wala takwimu za kumlinganisha na KDB.
Ana mafanikio Gani kumzidi KDB?
Takwimu zinaongeaKwani huyo KDB ana maajabu Gani kumzidi labile
hii mechi unaijua kwanza?Wakikutanaga team ya Pogba huteswa