Prime Pogba vs prime KDB who is the best?

Mpira wa Sasa hauna namba ngap
Nimekwambia alikuwa kiungo mkabaji yeye na busquet
Haya tuseme namba 6
ok sawa kama yaya toure alicheza kama namba 6 maana yake barcelona walicheza na viungo wakabaji wawili? Umesema barcelona walitumia 3~5~2? Kwenye 3~5~2 unakuwa na mawing back wawili ili eneo la kati liwe na hao watu 5 je hao mawing back wawili walikuwa ni nani na nani?
 
Barca ilikuwa siyo team ya kilimbia pembeni
Walikuwa wanapiga pasi nyingi
Hapo kati
Viungo wakabaji
Yaya
Busquet

Viungo washambuliaji
Xavi
Iniesta
Mesi

Washambuliaji
Henry
Eto

Barca walitumia mbinu ya winga mara chache sana wakimtumia David Villa
 
Nikatazame Nini YouTube na mechi nilitazama live
Yaya alicheza kama beki.

Barcelona alitumia mfumo wa 4-3-3. Hayo mengine yakulazimisha Yaya anacheza no 6 niyakwako. Lakini Guardiola akiwa Barcelona alimpiga bench yaya na nafasi yake akawa anacheza Sergio. B, nahata hizo mechi mbili alizocheza nikwasababu beki wa pembeni no 2 aliumia.

Na baada ya msimu huo Yaya 2010 alieondoka Barcelona, akiwa analalamikia Guardiola nimbaguzi hapendi wachezaji weusi na nibaada yakupigwa bench nafasi yake ikichukuliwa na SB akitokea Barcelona B.
 
Barca ilikuwa siyo team ya kilimbia pembeni
Walikuwa wanapiga pasi nyingi
Hapo kati
Viungo wakabaji
Yaya
Busquet

Viungo washambuliaji
Xavi
Iniesta
Mesi

Washambuliaji
Henry
Eto

Barca walitumia mbinu ya winga mara chache sana wakimtumia David Villa
hujajibu swali? Kama bartha walitumia 3~5~2 je hao mabeki wawili wa pembeni walikuwa ni nani na nani? Na kama walitumia mawinga je hao mawinga walikuwa nani na nani? Nijibu ili nikufundishe mpira bure bila ada.
 
Na baada ya msimu huo Yaya 2010 alieondoka Barcelona, akiwa analalamikia Guardiola nimbaguzi hapendi wachezaji weusi na nibaada yakupigwa bench nafasi yake ikichukuliwa na SB akitokea Barcelona

Yaya alicheza kama beki.

Barcelona alitumia mfumo wa 4-3-3. Hayo mengine yakulazimisha Yaya anacheza no 6 niyakwako. Lakini Guardiola akiwa Barcelona alimpiga bench yaya na nafasi yake akawa anacheza Sergio. B, nahata hizo mechi mbili alizocheza nikwasababu beki wa pembeni no 2 aliumia.

Na baada ya msimu huo Yaya 2010 alieondoka Barcelona, akiwa analalamikia Guardiola nimbaguzi hapendi wachezaji weusi na nibaada yakupigwa bench nafasi yake ikichukuliwa na SB akitokea Barcelona B.
Mkuu naheshimu mawazo yako
Lakini tazama Ile man u ilikuwa ya moto
Ilikuwa na wings zinakimbia mno
Barca wali opt kutumia viungo wengi kuwadhibiti

We unashambuliwa na gigs, park, na ronardo
Bado pembeni Kuna Rooney wa moto
Af wakabwe na kiungo mmoja ni dhahiri watakusumbua
 
hujajibu swali? Kama bartha walitumia 3~5~2 je hao mabeki wawili wa pembeni walikuwa ni nani na nani? Na kama walitumia mawinga je hao mawinga walikuwa nani na nani? Nijibu ili nikufundishe mpira bure bila ada.
Mabeki watatu coach anaamua kuvunja beki upande mmoja ili aweke nguvu kwenye midfield
 
Mkuu naheshimu mawazo yako
Lakini tazama Ile man u ilikuwa ya moto
Ilikuwa na wings zinakimbia mno
Barca wali opt kutumia viungo wengi kuwadhibiti

We unashambuliwa na gigs, park, na ronardo
Bado pembeni Kuna Rooney wa moto
Af wakabwe na kiungo mmoja ni dhahiri watakusumbua
Mkuu Alves ndio alikua back wakulia nahio mechi hakucheza, pep akaamua kuopt kumtumia puyor kama beki wa kulia, akamswitch kumtumia Yaya kama back wakati, mbele yao akamuweka SB. na mesi anacheza pemben mkono wakulia lkn akicheza sana katikat kama false 9. Mengine nimekuachia.
 
Sawa mkuu
Kila mtu abaki na mtazamo wake
 
Barca ilikuwa siyo team ya kilimbia pembeni
Walikuwa wanapiga pasi nyingi
Hapo kati
Viungo wakabaji
Yaya
Busquet

Viungo washambuliaji
Xavi
Iniesta
Mesi

Washambuliaji
Henry
Eto

Barca walitumia mbinu ya winga mara chache sana wakimtumia David Villa
NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA.NAJUA HAUJUI TUANZIE HAPA 3~5~2 NI MFUMO WA KUJILINDA ZAIDI KULIKO KUSHAMBULIA AMBAPO KTK MFUMO HUU UNAKUWA NA VIUNGO WA3 NA MAFULL BEKI WA2 WENYE KASI AMBAPO UNAPOSHAMBULIWA HAO MAFULU BEKI WANARUDI KUUNGANA NA MABEKI WA3 WA KATI NA KUWA NA MABEKI WA5 BARCELONA HAWAWEZI KUTUMIA MFUMO HUU KWASABABU BARTHA WANAPENDA KUMILIKI MPIRA NA KUPIGA PASI NYINGI NA SIO WAZURI KWENYE KUKABA SILAHA YAO KUBWA NI POSESSION. 4~3~3 NDIO ULIKUWA MFUMO WAO HUU NI MFUMO WA KUSHAMBULIA ZAIDI. ILI UPIGE PASI NYINGI UNAHITAJI UCHEZE 4~4~2 DIAMOND AU HATA FLAT AU 4~3~3 AU 4~2~3~1 NA UWE NA WACHEZAJI WENYE UWEZO WA KUPIGA PASI.
 
Mabeki watatu coach anaamua kuvunja beki upande mmoja ili aweke nguvu kwenye midfield
nitajie wing back wa kulia alikuwa nani basi? Na wing back wa kushoto alikuwa nani basi? Mbona swali rahisi tu? Porojo za nini?Mbona wengine wote umewataja?
 
Mabeki watatu coach anaamua kuvunja beki upande mmoja ili aweke nguvu kwenye midfield
hiyo mechi haujaiangalia na ndio maana hujui hata bartha walitumia mfumo gani? First eleven iliyoanza pia huijui, unasema bartha walitumia 3~5~2? Tangu lini? Na kwenye mechi ipi? Hebu tuletee hiyo line up ya bartha akiwa kwenye 3~5~2?
 
Jaribu kuitazama
NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA.NAJUA HAUJUI TUANZIE HAPA 3~5~2 NI MFUMO WA KUJILINDA ZAIDI KULIKO KUSHAMBULIA AMBAPO KTK MFUMO HUU UNAKUWA NA VIUNGO WA3 NA MAFULL BEKI WA2 WENYE KASI AMBAPO UNAPOSHAMBULIWA HAO MAFULU BEKI WANARUDI KUUNGANA NA MABEKI WA3 WA KATI NA KUWA NA MABEKI WA5 BARCELONA HAWAWEZI KUTUMIA MFUMO HUU KWASABABU BARTHA WANAPENDA KUMILIKI MPIRA NA KUPIGA PASI NYINGI NA SIO WAZURI KWENYE KUKABA SILAHA YAO KUBWA NI POSESSION. 4~3~3 NDIO ULIKUWA MFUMO WAO HUU NI MFUMO WA KUSHAMBULIA ZAIDI. ILI UPIGE PASI NYINGI UNAHITAJI UCHEZE 4~4~2 DIAMOND AU HATA FLAT AU 4~3~3 AU 4~2~3~1 NA UWE NA WACHEZAJI WENYE UWEZO WA KUPIGA PASI.
Jaribu kuitazama man u ilikuwa ya moto
Pep Ali opt kucheza na viungo wengi ili amiliki mchezo

Team ukiipanga mabeki 3 wakati mnashambukiwa viungo wa kati watarudi kuzuia pembeni
 
MJADALA UMEFUNGWA MKUU HUNA UNACHOKIJUA. TUMIA POST YANGU HAPO JUU KUJIFUNZA MPIRA.
 
Back
Top Bottom