TANZIA Prince Baina Kamukulu afariki dunia

alianzia clouds fm baadaye RFA . Innalilah wa innailaih rajiun.
 
kulikuwa na sauti nziito ikisikika "PRIIINCE BAINA KAMUKULU--AFRICA BAMBATAA,kumbe alihamia Rfa?
Alihamia RFA kitambo kweli nadhani wengi wamemfahamia kule ila baadae alihamia Arusha sijui radio gani, RIP PRINCE BAINA
 
Gone too soon Brother, nakumbuka mwaka 2012 tulikuwa wote Arusha ila leo ninapata taarifa za kifo chako, pumzika kwa amani.
 
.......mpaka mauti yanamfika alikuwa azam tv
 
Dar es salaam Ni kubwa hii mkuu. Fanya uje uone mwenyewe siku moja, usifikiri Kama kijijini kwenu watu wanajua kila kitu kinachoendelea hapa.

Unajiona kuishi dar umemaliza kila kitu eeh!
Kuna maisha zaidi ya hayo ya hapo dar unayojivunia nayo

RIP Baina.....
 
Du! Pole wafiwa, alibamba sana wakati akiwa mtangazaji wa kwanza wa kipindi cha Bambataa akiwa na Marehemu Amina Chifupa pale Clouds FM mwanzoni mwa mwaka 2000.
 
Mm nimemjulia RFA akiwa anatafusiri nyimbo za kihiid miaka ya 2005-2008 humo now cjui alikuwa WAP RlP bro
 
R.I.P bro kamukulu..nimepokea kwa mshtuko taarifa hiz..nakukumbuka sana tulikua wote na baadae tukawa wote tena arusha pale 77 hotel kwenye bakulutu kila jmos na then tukakutana tena mwana then wote tukarudi dar..so sad!
 
R.i.p brother tutakumisi sana kwenye simulizi za movie bara asia za kidosi
 
Itakuwa mitambo ya kwenye moyo ilikorofisha,rip dj,
 
kulikuwa na sauti nziito ikisikika "PRIIINCE BAINA KAMUKULU--AFRICA BAMBATAA,kumbe alihamia Rfa?

Yaaah...kipindi ya Africa bambataa....Enzi hizo MAWINGU RADIO kabla haijawa kisemeo cha maGAMBAZ
 
R.I.P Kamukulu. Nilikuwa naangalia movie za kihidi kupitia RFA ...!
=================================================
Mungu awatie nguvu na uvumilivu katika kipindi hiki kugumu cha masikitiko na majonzi wote walioguswa na msiba huu. Amen.
 
R.I.P bro Baina

Poleni familia mke na watoto kwa kumpoteza mume na Baba

Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mhimili wa familia.
 
Dar es salaam Ni kubwa hii mkuu. Fanya uje uone mwenyewe siku moja, usifikiri Kama kijijini kwenu watu wanajua kila kitu kinachoendelea hapa.

Wewe naye namajibu yako ya hovyo huko dar uko pekee yako jf usipojibu wewe si watajibu wanaofahamu hii habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…