Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari Wakuu!
Nimepokea taarifa sasa hivi kwamba aliyekuwa mtangangazaji wa Radio Free Africa na MC maarufu Baina Kamukuru amefariki dunia huko jijini Dar es Salaam
Mliko Dar plz naomba uthibitisho wa taarifa hizi
Kama ni kweli RIP Baina Kamkuru!
===
Habari za kifo ni cha ndugu yetu mpendwa zimethibitishwa na RFA. Pumzika kwa amani.
Kifo chake cha ghafla, alikuwa anafanya mazoezi ya viungo, akadondoka ghafla, alipowahishwa Hospitali akakata roho.
![]()
Marehemu Prince enzi za uhai wake
![]()
Prince Baina akiwa na watoto wake
Hivi Vifo tunavyoambia vya ghafla vya vijana huwa vunatia shaka sana,vijana wengi ni wahanga wa matumizi ya energy drinks,madawa ya kuboost kwa babu na vitu vinavyofanana ba hivyo,mara nyingi vitu hivyo vinaathari kubwa sana kwenye msukumo wa damu na mapigo ya moyo.... Je ni mazoezi ya viungo au Kuna Kitu kimejificha nyuma ya pazia? M.A.P P.B.K.

RIP Prince! Wakuu naomba kuja, hivi huyu jamaa si ndo aliimba ule wombs kama sikosei unaitwa 'Park....', wimbo wenye maudhui ya mtu kunyimwa unyumba na mkewe, hadi Kaenda kushtaki kwa paroko!!??
Huyu ndio yule wa kipindi cha Jumapili usiku cha movie za kihindi RFA?
Daaah R.I.P
Alihamia RFA kitambo kweli nadhani wengi wamemfahamia kule ila baadae alihamia Arusha sijui radio gani, RIP PRINCE BAINA