TANZIA Prince Baina Kamukulu afariki dunia

TANZIA Prince Baina Kamukulu afariki dunia

Dah nakumbuka mwanzoni mwa miaka ya 2000 pale clouds akiwa na Mr.c charz mamiji na marehemu amina chifupa ktk kipindi cha africa bambataa
 
Dar es salaam Ni kubwa hii mkuu. Fanya uje uone mwenyewe siku moja, usifikiri Kama kijijini kwenu watu wanajua kila kitu kinachoendelea hapa.

Jinga sana wewe.
Yaani unaona kuishi Dar ndio ujanja...:what:, wakati watu tumeacha mijengo yetu huko Dar na wajinga kama wewe ndio tunakamua kodi zenu na maisha yetu yanasonga huku unapo paita vijijini ...mbaff sana.
Kwanza unapoteza maana na maudhui ya uzi huu aiseee...😎
 
Rest In Peace Mwana Liverpool Mwenzangu,,,

Mzee wa Mliiiiluuuuuuuuuu,,,, Nitajitahidi kupata nafasi ya kukuzika. You have gone too soon brother, watoto wadogo, ulikuwa mpambanaji lakini hakuna ajuaye siku yake ya kufa. Umetangulia my brother, neighbour, mate. Najilaumu sikuijibu msg yako ya mwisho kwenye whatsapp wiki mbili zilizopita, labda tungeagana bro. Etihad stadium jumapili bila wewe kuwepo hakuna ambaye angewaza hivyo jana. Baina Baina umeeenda, I just cant believe
 
Yah, kifo hakiepukiki but inauma sana mpendwa wetu anapoandoka, Baina umewaacha kina Vicky bado wadogo sana, so sad to mama Vicky jamani
 
R.I.P. Mkuu hiyo ni njia yetu sote,tunatofautiana Muda na Namna ya Kifo tu!!.
 
Huyu ndugu PAGAN msameheni bure....si mnaona tu jina lake lenyewe.
Poleni wafiwa....kifo chake kitukumbushe tu wasafiri duniani. Mungu watie nguvu mke na watoto wake na jamaa zake wa karibu walioguswa na msiba huu.
 
Mlikuwa kama mmekaa mahali mkasikia ' Piruuu!' Basi huna haja ya kugeuka kujua ni nani zaidi ya Prince Baina Kamkulu Mwamba mkuu!
Tutakukumbuka sana. Pole sana kwa mwanao Vicky ambaye naambiwa leo ndio walikuwa wanaanza mitihani ya kufunga muhula kidato cha tano hapo Weruweru
 
Duh!huyu PAGAN uzi umehamia kwake.Rip kamukulu.
 
Back
Top Bottom