kinjumbi one
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 1,695
- 2,144
Dar es salaam Ni kubwa hii mkuu. Fanya uje uone mwenyewe siku moja, usifikiri Kama kijijini kwenu watu wanajua kila kitu kinachoendelea hapa.
Rest In Peace Mwana Liverpool Mwenzangu,,,
Mzee wa Mliiiiluuuuuuuuuu,,,, Nitajitahidi kupata nafasi ya kukuzika. You have gone too soon brother, watoto wadogo, ulikuwa mpambanaji lakini hakuna ajuaye siku yake ya kufa. Umetangulia my brother, neighbour, mate. Najilaumu sikuijibu msg yako ya mwisho kwenye whatsapp wiki mbili zilizopita, labda tungeagana bro. Etihad stadium jumapili bila wewe kuwepo hakuna ambaye angewaza hivyo jana. Baina Baina umeeenda, I just cant believe
Uwiiiiii jamani jamani!
Nilikuwa nakipenda sana,japo nimeacha kukisikiliza zamani sana.
Poleee.. Natamani ningekua na uwezo nikakusimulia movie kama zama za uhai wake..