TANZIA Prince Baina Kamukulu afariki dunia

oooh God,sasa zile nyimbo za kidosi ntaziskia kutoka kwa nan sasa? niliipenda sana sauti yake..R.I.P
 
R.i.p Baina My class mate,nakumbuka tulisoma wote o'level Mihayo Secondary school Tabora in 90's imeniuma sana maana hatukuonana tena toka wakati huo!
 

RIP Prince! Wakuu naomba kuja, hivi huyu jamaa si ndo aliimba ule wombs kama sikosei unaitwa 'Park....', wimbo wenye maudhui ya mtu kunyimwa unyumba na mkewe, hadi Kaenda kushtaki kwa paroko!!??
 
Nimewaangalia wanawe halafu nikajiskia vibaya sana sana, unaachwa bila Baba katika umri kama huo? Mungu awaajalie watoto hao afya na uzima
 
Hivi Vifo tunavyoambia vya ghafla vya vijana huwa vunatia shaka sana,vijana wengi ni wahanga wa matumizi ya energy drinks,madawa ya kuboost kwa babu na vitu vinavyofanana ba hivyo,mara nyingi vitu hivyo vinaathari kubwa sana kwenye msukumo wa damu na mapigo ya moyo.... Je ni mazoezi ya viungo au Kuna Kitu kimejificha nyuma ya pazia? M.A.P P.B.K.
 
Inaonekana wewe PAGAN umepiga Ikulu mbona mada kama inataka kuhama...R.I.P PRINCE BAINA KAMUKULU
 
Last edited by a moderator:

Mkuu umeuliza kitu ya Mbolea sana....kwa wenye majibu wakuje


 
wapenzi wa vipindi vyako vya tafsiri za sinema za kihindi watakumiss sana... R.I.P PRINCE BAINA KAMUKULU
 
Lala salama kaka, Mara ya mwisho tulionana pale Arusha Raha bar, enzi hizo ukiitumikia RADIO5.
 
Namkumbuka akiwa cloooooooooooooooooudssssssssss efffffffffffffffffffff eeeeeeeeeemmmm
 
Alihamia RFA kitambo kweli nadhani wengi wamemfahamia kule ila baadae alihamia Arusha sijui radio gani, RIP PRINCE BAINA

......Dah

....Arusha tulikuwa wote Member wa The picnic mara ya mwisho niliwasiliana naye akaniambia yuko Dar I think Azam media Rip Prince
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…