Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
R.I.P bro kamukulu..nimepokea kwa mshtuko taarifa hiz..nakukumbuka sana tulikua wote na baadae tukawa wote tena arusha pale 77 hotel kwenye bakulutu kila jmos na then tukakutana tena mwana then wote tukarudi dar..so sad!
Kipindi icho sebene la kufa mtu, alikuwa anaunga sokuos mpaka baaaasi.umenifanya niikumbuke wimbo WA Marie poul na wenge el parisDah nakumbuka mwanzoni mwa miaka ya 2000 pale clouds akiwa na Mr.c charz mamiji na marehemu amina chifupa ktk kipindi cha africa bambataa
Aliumwa nini?
Maaba ma mc after party ni shida