Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
R.I.P bro kamukulu..nimepokea kwa mshtuko taarifa hiz..nakukumbuka sana tulikua wote na baadae tukawa wote tena arusha pale 77 hotel kwenye bakulutu kila jmos na then tukakutana tena mwana then wote tukarudi dar..so sad!
.....Mkuu nimesikitika sana kwa kuwa nasafari ya Dar nitafika Azam media kutoa rambi rambi yangu kwa familia...
....dah pale Picnic Arusha tulipenda sana kuusikiliza wimbo wa JB Mpiana Douglas Ilumbe PRINCE KAMUKULU aliuimba sana huu wimbo...Chinga pale kaunta ilikuwa balaa
RIP Brother Kamukulu